Chagu wa Malunde
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 8,734
- 5,750
- Thread starter
- #41
Typing error si unajua enzi za typwritersSasa hiyo barua kuna mahali pameandikwa mwalumu.
Nachelea kuamini kuwa ilipata kuwekwa saini na uliyemtaja katika bandilo lako.
Maana uliyemtaja ni nguli kwelikweli wa kiswahili. Vinginevyo neno mwalumu ni geni kwangu binafsi sikupata kulifahamu.
Sent using Jamii Forums mobile app