Ali Hassan Mwinyi na Khamis Kagasheki waliingia katika siasa kwa bahati mbaya...

Typing error si unajua enzi za typwriters
 
Mwinyi ndio maana unaona Mungu anampa miaka mingi ya kuishi

Makosa yake mengi yalikuwa ya kushauriwa vibaya na si kuingilia mambo moja kwa moja.

Mfano Mbatia kufukuzwa chuo baada ya migomo kuzidi.

All in all ana hofu ya Mungu.
Kuna msemo kwamba wazuri hawaishi muda mzuri!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…