Ali Hussein Burji, kiongozi mwingine wa Hezbollah auawa na IDF

Ali Hussein Burji, kiongozi mwingine wa Hezbollah auawa na IDF

Ajali kazini. Hii kwenye uwanja wa mapambano mbona kawaida sana
Ni kweli kwamba ni kawaida sana lakini lazima pia ujiulize mbona Myahudi katika hili anawachambua (Identify and selective killings) na kulamba vichwa vya viongozi tuu?? Je, Haiwezi kuwa huo ni Mkakati maalum?
 
Ukitaka kumuua nyoka mpige kichwani. Ndio kitu myahudi anatoa funzo Kwa magaidi
 
Nakupata mkuu. Kinacho nishangaza ni kwamba, kila myahudi anapoua kamanda wa hamas au hezbollah au huko iran utasikia kauli ngumu kwamba "Israeli lazima italipa gharama" sasa kabla gharama haijalipwa anauliwa mwingine, tena mwingine.
Hamas wa Geita wanasemaje kwani?
 
Hawa wakuitwa makamanda wa Hizbollah/Houth ukiwaona sasa yaani hawafanani kabisa na hadhi ya majina wanayopewa.

Yule Kiongozi wao Bora awe ananyamaza maana akiitisha press na kuapa kwamba watalipiza kisasi ndio kwanza watu wake wanadunguliwa mmoja baada ya mwingine

Go go IDF jeshi Bora duniani.
Hao Hauth wanapigana pekupeku na hawana hata uhakika wa mlo mmoja kwa siku eti ndio wapigane na Wamerekani na waisrael.
 
Ngoja kwanza hamas ishafutwa au ndio mnajificha huku [emoji3]
kwan vita hii ni hamas pekee ndo wanapigana ? ushasahau Hizbolah wanasambulia Israel , wayaudi wana akili sana wanaanza walemaza hao hizbolah muda ukifika watatinga huko Lebanon na washatoa onyo kwa serikali ya Lebanon kuwadhibiti Hizbollah la sivyo wayaudi watatinga huko , Houth wajipange pia bomu linasukwa pia
 
Wajue kwamba wembe wa Myahudi makali yapo pale pale wasijisahau eti Myahudi atachoka. Waapi! Hakuna hiyo. 😁
 
Screenshot_20240111_081650_X.jpg
 
Back
Top Bottom