ALI K ulikosa pesa ya kuingia studio? Kwanini hukulisema hili mapema mkuu?


Umeisikilizia mkito hau?coz mkito nenda kasome kanuni zao.ni lazima waplay matangazo then ndo husikilize nyimbo ni njia ya kulipa wasanii kupitia free play sponsored na wanamatangazo.
 

acha uvivu kabla ya kupost fanya utafiti...umepata wimbo wa bure ndiyo maana kuna tangazo, lipia huko mkito.com alafu uone kama utasikia habari za Mpawa!!
 
Mkito Ukidownload Nyimbo Bure Lazima Uupate Ukiwa Na Tangaze...Ukiongeza Salio Unaupata Fureeeshy...
 

Nataman nikupe like 100000 lakini uwezo wangu umeishia hapo kwenye moja....
 
Unaongelea kutoa support wakati wimbo wenyewe hujaununua umeuload bure
 
Excel' utakuwa unatamani huu uzi ufutwe' sema ndo vile tu huna jinsi!

Mods muondoleeni huu uzi huyu mkuu' mwenyewe hautaki uzi wake..
 
Excel' utakuwa unatamani huu uzi ufutwe' sema ndo vile tu huna jinsi!

Mods muondoleeni huu uzi huyu mkuu' mwenyewe hautaki uzi wake..

mkuu sio siri nimecheka sana....hahahahahah...ahsante!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…