Down To Earth
JF-Expert Member
- Jul 8, 2011
- 21,940
- 16,643
Heri ya sikukuu ya eid..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi si mshabiki mkubwa saaana wa bongo flavour, ila pale inapobidi kutoa support, huwa natoa...
by the way, nampa hongera Ali k kwa kurudi kwenye 18 ya muziki..
Jambo linaloniwazisha hapa ni kuhusu huu wimbo wake mpya, kwanini kuna tangazo la M power ndani yake? ni kwamba kiba alikosa pesa kabisa ya kuingia studio ama vipi? sidhani kama ni system nzuri kuanza kutuwekea matangazo ya biashara kwenye nyimbo ambazo zilistahili kutuburudisha..
Ali, this time fanya kazi huku ukitunza mtaji kaka, binafsi sijavutiwa na haka katangazo kwenye huu wimbo, tambua hilo wazi kabisa...
Kama ni pesa za studio, sidhani kama tungekutosa kwenye concert yoyote in-case ungeandaa, lazima tungekuja kukuunga mkono kaka, mavi ya kale hayanuki, wewe ni nyota, tafadhali kama ni matangazo, watangazie huko huko separate kabisa na ndani ya nyimbo, usituchanganyie habari kaka..
Yangu ni hayo tu, usijaribu kula mtaji tena, hili tangazo limenikera.

Mi sisikilizi kimasomaso nyimbo za kinamama.
Hongera bibi naona unaskiliza kitorondo taratibu hapo tandale

MAISHA NI KUJIPANGA............WEKA AKIBA NA M-PAWA......
VODACOM, KAZI NI KWAKO !!!!
Mkuu Pasco, Mikito ndio utaratibu wao huo kwa free downloads!!! Sio kwenye nyimbo ya kiba tu, zote zinazopatikana katika mtandao huo!!!
Waliopita wameandika vizuri!
Pole kwa dhoruba la majibu makali... Najua umeteleza tu na next time hutorudia makosa!
...........................................................................................................................................
Appetizer!
Mali ni nyingi nyumbani, kipi kimekukimbiza
Ona babiyo mamiyo wote wanakulilia...........
mtoto peke yako nyumbani, kipi kilokukimbiza
Ona babiyo mamiyo wote wanakulilia...........
NDANI YA DAR EES SALAAM ULIKUJA BURE
TENA KIMWANA HUJUI KUCHUNA...............................
BHAAAAAAAAAAASSSSSSSSSSS!!!!!!
Hongera bibi naona unaskiliza kitorondo taratibu hapo tandale
Hivi watu kwanini wanamchukuia Ali K?
Excel' utakuwa unatamani huu uzi ufutwe' sema ndo vile tu huna jinsi!
Mods muondoleeni huu uzi huyu mkuu' mwenyewe hautaki uzi wake..