ALI K ulikosa pesa ya kuingia studio? Kwanini hukulisema hili mapema mkuu?

ALI K ulikosa pesa ya kuingia studio? Kwanini hukulisema hili mapema mkuu?

Umeisikilizia mkito hau?coz mkito nenda kasome kanuni zao.ni lazima waplay matangazo then ndo husikilize nyimbo ni njia ya kulipa wasanii kupitia free play sponsored na wanamatangazo.

yaaani huyo haliewi kitu yeyote anatoka povuu tu, mambo yamebadilika na hyo ndo mkito bana... Wanasheria zao hao
 
Mtowa uzi ni kilaza kapitiliza anawe akawa kilanja wao
 
Umepakua wa bure huo usimsingizie alikosa hela ya studio, ule unaouzwa hauna jingle za voda
 
MAISHA NI KUJIPANGA............WEKA AKIBA NA M-PAWA......

VODACOM, KAZI NI KWAKO !!!!

Mkuu Pasco, Mikito ndio utaratibu wao huo kwa free downloads!!! Sio kwenye nyimbo ya kiba tu, zote zinazopatikana katika mtandao huo!!!

Waliopita wameandika vizuri!

Pole kwa dhoruba la majibu makali... Najua umeteleza tu na next time hutorudia makosa!

...........................................................................................................................................

Appetizer!

Mali ni nyingi nyumbani, kipi kimekukimbiza

Ona babiyo mamiyo wote wanakulilia...........

mtoto peke yako nyumbani, kipi kilokukimbiza
Ona babiyo mamiyo wote wanakulilia...........

NDANI YA DAR EES SALAAM ULIKUJA BURE
TENA KIMWANA HUJUI KUCHUNA...............................

BHAAAAAAAAAAASSSSSSSSSSS!!!!!!

Kwani Excel ndiyo Pasco?
 
Last edited by a moderator:
Excel' utakuwa unatamani huu uzi ufutwe' sema ndo vile tu huna jinsi!

Mods muondoleeni huu uzi huyu mkuu' mwenyewe hautaki uzi wake..

Ahahahahahaaaaaaa mleta uzi kala kona mbaya atakuwa keshafika tandale
 
Umeisikilizia mkito hau?coz mkito nenda kasome kanuni zao.ni lazima waplay matangazo then ndo husikilize nyimbo ni njia ya kulipa wasanii kupitia free play sponsored na wanamatangazo.

mkuu nimefuatilia hiyo case aisee..

by the way, hii process imeanza lini?
 
We mwana wewe mwana, mwana jeuri sana...

ulichikufata hukupata, umekosa ulivyoacha...

Oyayee omamee...

I'm an astronaut and my next mission is to explore Uranus.
 
Hahaaa mkuu ilo songi la Alikiba, Mtafute msikilize tafadhaliiiiiii

I'm an astronaut and my next mission is to explore Uranus.
 
Back
Top Bottom