Ali Kamwe: Ahmed Ally anachonganisha wachezaji na mashabiki

Nini kinapelekea kila aliyefanikiwa tunadhani ni shoga?

Na ni kwanini watu wawaze hivyo?

Majibu ni mafupi na yanaeleweka
[emoji116]

1.Wengi wamefanyiwa vitendo hivi haramu kwenye makuzi yao iwe kupenda au kulazimishwa.

2.Kuzaliwa kwenye umasikini wa kutupwa na kushindwa kujikomboa, hili limepelekea wengi kudhani mtu akipewa au kuzawadiwa kitu fulani basi ni shoga.
Tena hili limewaathiri Sana hata wanawake. Leo hii ukimpa msichana laki mbili ya pamoja wakati kazoea kupewa elfu ishirini basi hana cha kukutunuku zaidi ya kukupa........

3.Kushindwa kufikia malengo kwenye maisha,(kutoboa)
Hii inapelekea kuona Kila aliyefanikiwa basi ni............

Ushauri

Vijana mjitafute, kaeni kwenye angle za kutambulika , fanyeni kazi kwa bidii, jengeni majina yenu. pesa haitafutwi bali ina mitego yake.

Siku ukizawadiwa kitu cha million mbili litakuwa jambo la kawaida
 
Unaweza kusoma kati kati ya maandishi komenti za watu wa Simba unaelewa Kwa hakika maneno ya kamwe yameingia sawa sawa kumoyo. Hawajapenda na kumtukana tu Ali...
Kabisa [emoji23]
 
Utu unazidi kuporomoka
 
Ni sahihi. Alafu mengi wengi wanaofanya hivi ni humu JF kwa kuwa wanatumia fake ID. Sidhani kama wangekuwa wanatumia majina yao halisi wangekuwa wana comment huo upuuzi. Labda kwa kuwa natumia mitandao miwili tu ya kijamii JF na FB ila kule FB sionagi huu upuuzi kama wa JF.
 
Umesema ukweli
Yan huwa nashangaa
Hivi mtu boss kama GSM au Mo Dewj kumpa mtu zawadi ya simu ya million 3 hadi afanye huo uchafu
Sasa kwa GSM million 3 ni kitu gani?
Yan boss kumpa mfanya kazi wake zawadi ya simu basi Ali Kamwe ashakuwa shoga

Vijana wabadilishe huu mtazamo
Tupambane tupate vya kwetu
 
Sasa huyu nyuma mwiko nyuma anajitambua kweli?
 
Ukishakuwa yanga tu,ni kama unakuwa umeingia mkataba na UTAAHIRA.KWA KIFUPI HAKUNA UTOPOLO ANA AKILI DUNIANI..LAZIMA ATAKUWA ANA SHIDA KIDOGO KICHWANI SIJUI KWANINI??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…