Jack Daniel
JF-Expert Member
- Sep 23, 2021
- 2,912
- 12,904
Nini kinapelekea kila aliyefanikiwa tunadhani ni shoga?
Na ni kwanini watu wawaze hivyo?
Majibu ni mafupi na yanaeleweka
[emoji116]
1.Wengi wamefanyiwa vitendo hivi haramu kwenye makuzi yao iwe kupenda au kulazimishwa.
2.Kuzaliwa kwenye umasikini wa kutupwa na kushindwa kujikomboa, hili limepelekea wengi kudhani mtu akipewa au kuzawadiwa kitu fulani basi ni shoga.
Tena hili limewaathiri Sana hata wanawake. Leo hii ukimpa msichana laki mbili ya pamoja wakati kazoea kupewa elfu ishirini basi hana cha kukutunuku zaidi ya kukupa........
3.Kushindwa kufikia malengo kwenye maisha,(kutoboa)
Hii inapelekea kuona Kila aliyefanikiwa basi ni............
Ushauri
Vijana mjitafute, kaeni kwenye angle za kutambulika , fanyeni kazi kwa bidii, jengeni majina yenu. pesa haitafutwi bali ina mitego yake.
Siku ukizawadiwa kitu cha million mbili litakuwa jambo la kawaida