Donnie Charlie
JF-Expert Member
- Sep 16, 2009
- 16,908
- 19,123
Wewe si mtumiaji tu, sasa iwe kwa mpinzani wake kama mo cola, au azam cola au coca cola alafu ni mwakilishi wa hayo makampuni unategemea nini? Hapo ni kuharibu jina la pepsi kwa watumiaji.Ni mtazamo wako
Sasa kama anaona jezi mbaya unalazimisha aseme ni nzuri.
Kwa mfano nikisema soda ya Pepsi ni mbaya ni kosa?
Sanda ndio anatengeneza pia na jezi ya timu ya taifa sasa huyu bwana mdogo anapokuja na issue kama hii anataka yeye ndio apewe tenda kuwa sanda wameshindwa? Au wanaotengeneza jezi za yanga ndio wapewe tenda?