Ali Kamwe aombe radhi yaishe asilete ujuaji wake

Ni mtazamo wako
Sasa kama anaona jezi mbaya unalazimisha aseme ni nzuri.

Kwa mfano nikisema soda ya Pepsi ni mbaya ni kosa?
Wewe si mtumiaji tu, sasa iwe kwa mpinzani wake kama mo cola, au azam cola au coca cola alafu ni mwakilishi wa hayo makampuni unategemea nini? Hapo ni kuharibu jina la pepsi kwa watumiaji.

Sanda ndio anatengeneza pia na jezi ya timu ya taifa sasa huyu bwana mdogo anapokuja na issue kama hii anataka yeye ndio apewe tenda kuwa sanda wameshindwa? Au wanaotengeneza jezi za yanga ndio wapewe tenda?
 
Kwa Ali Kamwe hana uhuru wa kutoa maoni kuhusu bidhaa za sanda?
Bidhaa ikiingia sokoni laZima watuamiaji wawe na maoni tofauti kuihusu
Kama ni nzuri au mbaya
Na mzalishaji huwezi kulazimisha watu wote wawe na mtazamo chanya kuhusu bidhaa yako
 
Huyu dogo tangu awe maemaj utopolon,akili zote kakabidh kwa Hersi
 
Kwa Ali Kamwe hana uhuru wa kutoa maoni kuhusu bidhaa za sanda?
Bidhaa ikiingia sokoni laZima watuamiaji wawe na maoni tofauti kuihusu
Kama ni nzuri au mbaya
Na mzalishaji huwezi kulazimisha watu wote wawe na mtazamo chanya kuhusu bidhaa yako
Wakati akiongea ile hoja uliangalia? Alikuwa anaongea mtaani kama raia wa kawaida au alikuwa akiongea kama mwakilishi wa team fulani?
 
Mambo ya Simba na Yanga ni kama Uchaguzi wa Serikali za mtaa tuu siasa nyingi tengenezeni jezi zenye ubora acheni kutafuta huruma kwa Wananchi.
 
Wakati akiongea ile hoja uliangalia? Alikuwa anaongea mtaani kama raia wa kawaida au alikuwa akiongea kama mwakilishi wa team fulani?
Kuwa mwalilishi wa timu ndo kunafuta mtazamo wako juu ya bidhaa Fulani kama ni mbaya au nzuri?
 
mbona hamba kesi hapo kama ametamka neno sanda alafu udai ameharibu image ya kampuni si kweli..kwani simba sc iliingia mkataba na sandaland only one na hii ndio kampuni inayotambulika kisheria kwenye usajili wa makampuni na ndio inalipa kodi serikalini na hio sanda sidhani kama ipo kusheria na ali kamwe yeye kataja sanda alafu eti mshtaki awe sandaland only one mbona hizi ni kampuni mbili tofauti..maana hiyo sanda kwenye mkataba na simba haipo..wa kudai fidia na kufungua kesi ilitakiwa iwe Simba sc hawa ndio wamiliki wa jezi sababu sanda haipo popote kwenye mkataba na Simba sc na huyo sandaland only one je,alitajwa popote na ali kamwe kwenye matamshi yake vp wakiwa mahakamani huyo sandaland only one akitakiwa aonyeshe alipotajwa na ali kamwe kwenye matamshi yake na kama hakutajwa anapata wapi uhalali wa kudai fidia wakati ali kamwe kaitaja sanda ambao kwenye mkataba na simba haipo.!
 
Na hapo ndio hoja ya sanda ilipo kwenye shauri alilofungua.
Hapo hamna kesi
Uhuru wa maoni ni haki ya kikatiba
Ametoa maoni yake
Ulitaka atoe maoni chooni
What-if angesema ni nzuri sana?
Angeshitakiwa Kwa kusifia bidhaa za sandaland
 
Na hiyo ni hoja nyingine nzuri kabisa
 
Kwa vile Yanga wenye akili ni wawili tu, mwisho wa hii ngoma mtajifunza kitu, labda wakubaliane kuyamaliza kimya kimya.

Dogo Kamwe utopolo mwingi sana kichwani.
 
Sanda na Sandaland ni vitu viwili tofauti ngoja waende mahakamani wakutane na yale maswali ya kifedhuli utatamani ukimbie pana mtu aliomba maji huku maswali yakiendelea.
 
Hapo hamna kesi
Uhuru wa maoni ni haki ya kikatiba
Ametoa maoni yake
Ulitaka atoe maoni chooni
What-if angesema ni nzuri sana?
Angeshitakiwa Kwa kusifia bidhaa za sandaland
Kama akili za waTanzania ndio ziko hivi, basi Kidumu Chama Chetu Mazima
 
Ndo tatizo la kazi ambazo kigezo cha mshahara ni mdomo. Ukitaka kuthibitisha kwa boss wako kuwa unapiga kazi unajikuta unaropoka ropoka.
 
ww acha uongo umemtaja Sanda kama mtengenezaji na msambaziji wa jezi za simba na taifa stars sio kweli kabisa..Sanda hajawai kutengeneza wala kusambaza jezi za simba wala taifa stars..
 
Mwanasheria wa yanga ananifikirisha sana yaani kuna vitu vinatokea mpaka unaona kabisa kitengo cha sheria hakipo vizuri pale yanga nasubiria kesi ya yanga na gamond.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…