Mtoto wa Shule
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 15,133
- 11,914
Hujaelewa alichoandika mtoa post. Yeye hajalaumu maoni ya Ally Kamwe, bali kalaumu kwa kumtaja mzalishaji wa jezi kwa jina lake moja kwa moja. Elewa utofauti huo na pia natanguliza pole kwa yatakayotokea kwa Che Majaliwa Stadium !!!Kusema katoa jezi MBAYA kuna sababishaje jezi nzuri zilizo tolewa na SANDA ziwe mbaya?
Kama ni nzuri halafu atokee mtu aseme ni mbaya na mazuzu wa simba waache kununua jezi nzuri kwa sababu tu mtu wa yanga amesema ni jezi mbaya.. Tatizo litakuwa kwa nani?
Kusema katoa jezi MBAYA kuna sababishaje jezi nzuri zilizo tolewa na SANDA ziwe mbaya?
Kama ni nzuri halafu atokee mtu aseme ni mbaya na mazuzu wa simba waache kununua jezi nzuri kwa sababu tu mtu wa yanga amesema ni jezi mbaya.. Tatizo litakuwa kwa nani?
Makolo ndio wamatoa jezi mbaya au sanda?Kama ni utani angesema tu..makolo wametoa jezi mbaya baasi..lakini kasema bwana SANDA katoa jezi mbaya ndio maana viongozi wa Simba wamegoma kuzizindua ...huu ni ugonvi wake na SANDA.. Kamwe kakosea
Kwani jezi si zimeandikwa SANDA..!!?? Akikuambia yeye alisoma kilichoandikwa na wewe utaomba radhi..!!??Defamation Haina uzito kwa tz tu kwakua watu wanachukulia poa, lakini kwa nchi za wengine ni bonge la case.
sio kosa kuponda jezi za Simba, kosa ni kutaja jina la mtengenezaji na msambazaji. kataja neno sanda ni kuharibu brand ya watu.
Sanda ni brand ndomana jina la sanda linasoma kwenye jezi za Simba. Kwahy kumtaja sanda Moja kwa moja ni kosa.
Ahmed Ally utamskia akiponda jezi za Yanga lakini huwezi kumskia akisema GSM katoa jezi mbaya, GSM ndo msambazaji wa jezi za yanga, GSM ni brand na yeye kama msemaji wa club kubwa anamamilioni ya watu wanaomfatilia , neno lake linasafiri masafa marefu.
Kumshambulia hadharani ni kuharibu biashara yake.
Hata kama watayamaliza kimya kimya lakini atapata funzo kuto kumshambulia mtu au brand yake Moja kwa moja. Nafikiri hata sanda Hana shida na hizo pesa Bali ni kumpa funzo kijana.
Rudia kusoma ulichoandika mwana mbumbumbu FCDogo atajifunza kuto lopoka lopoka hovyo..
Defamation Haina uzito kwa tz tu kwakua watu wanachukulia poa, lakini kwa nchi za wengine ni bonge la case.
sio kosa kuponda jezi za Simba, kosa ni kutaja jina la mtengenezaji na msambazaji. kataja neno sanda ni kuharibu brand ya watu.
Sanda ni brand ndomana jina la sanda linasoma kwenye jezi za Simba. Kwahy kumtaja sanda Moja kwa moja ni kosa.
Ahmed Ally utamskia akiponda jezi za Yanga lakini huwezi kumskia akisema GSM katoa jezi mbaya, GSM ndo msambazaji wa jezi za yanga, GSM ni brand na yeye kama msemaji wa club kubwa anamamilioni ya watu wanaomfatilia , neno lake linasafiri masafa marefu.
Kumshambulia hadharani ni kuharibu biashara yake.
Hata kama watayamaliza kimya kimya lakini atapata funzo kuto kumshambulia mtu au brand yake Moja kwa moja. Nafikiri hata sanda Hana shida na hizo pesa Bali ni kumpa funzo kijana.
Kwani nyie Uto mnafika wapi na hizo jezi zenu mpya? Mwisho wenu ni makundi full stop.Naye huyo sanda aache ufala... Watu kibao si walikuwa wanasema kaamua kutengeneza sanda (nguo ya maiti), mbona hakumaindi?
Ukiona imemuuma basi jua imemchoma na kumuingia kisawasawa. Kwa yale madekio halali yake amaindi
Sio kosa , kosa ni kusema SBS katengeneza soda mbaya tena hadharani mbele ya vyombo vya habari.Ni mtazamo wako
Sasa kama anaona jezi mbaya unalazimisha aseme ni nzuri.
Kwa mfano nikisema soda ya Pepsi ni mbaya ni kosa?
Uhuru wa maoni ni haki ya misingi kikatibaSio kosa , kosa ni kusema SBS katengeneza soda mbaya tena hadharani mbele ya vyombo vya habari.
Kwani huyo kamwe angesema sanda katoa jezi mbaya akiwa chumbani kwake peke yake nani angembana!?, Hivi hata mchome anazipindaga jezi za Simba, ulishawahi kumskia akisema sanda katoa jezi mbaya!?.
Huyo alikamwe angeponda jezi sio msambazaji.
Duuh!! Unajua maana ya "direct attack"!?. Alichofanya kamwe ndo hcho kamshambulia sanda Moja kwa moja.Makolo ndio wamatoa jezi mbaya au sanda?
Yanga watamlipa bwana SANDA akituthibitishia hiyo hasara. Atueleze kabla ya defarmation alikua anapata faida kiasi gani na sasa imepungua kiasi gani.Si yanga watampa s ndo walimtuma
Hujui hata maana ya bar, uliza wanasheria bar ni niniMAMA AKO KASHARUDI KUTOKA DUKANI HAYA MPELEKEE SIMU YAKE.