Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Unakumbuka juzi tu hapa nilikwambia nini?Watu na chama chao.
Ulitisha mkuu.Unakumbuka juzi tu hapa nilikwambia nini?
Hana ajualo kuhusu sheria za sokaHistoria ya Klabu ya Yanga SC kwenye ushiriki wake katika kuleta maendeleo ya Taifa la Tanzania, Kiuchumi, Kisiasa na Kimichezo haijaanza Leo wala jana ..
Ni Klabu hii ya Wananchi iliyobeba sehemu ya Ukombozi wa Taifa hili.. Tumebeba Nembo ya Umoja, Amani, Upendo, Mshikamano na ukarimu wa Raia wa Tanzania
Sio kwa Bahati mbaya Tukawa TIMU YA WANANCHI.
Tuko kwenye Mikono salama WANANCHI wenzangu na Tunapaswa kujipongeza kwa kuibeba Taswira ya Tanzania kwenye MICHEZO.
Viongozi wetu wote waliopita, waliopo na watakaokuja Baadae In Shaa Allah, Jukumu lao kubwa ni kuilinda Klabu hii kama ilivyoasisiwa na wakubwa
Matimu ambayo kiasili yalianzishwa kwa ajili ya MIGOGORO na CHOKOCHOKO hawawezi kuelewa Hii Falsafa yetu Young Africans Sports Club.
Mwambieni aache upumbavu na Bora akae kimya. Kuchangia CCM Kwa jina la klabu kunaletaje maendeleo ya Nchi?Historia ya Klabu ya Yanga SC kwenye ushiriki wake katika kuleta maendeleo ya Taifa la Tanzania, Kiuchumi, Kisiasa na Kimichezo haijaanza Leo wala jana ..
Ni Klabu hii ya Wananchi iliyobeba sehemu ya Ukombozi wa Taifa hili.. Tumebeba Nembo ya Umoja, Amani, Upendo, Mshikamano na ukarimu wa Raia wa Tanzania
Sio kwa Bahati mbaya Tukawa TIMU YA WANANCHI.
Tuko kwenye Mikono salama WANANCHI wenzangu na Tunapaswa kujipongeza kwa kuibeba Taswira ya Tanzania kwenye MICHEZO.
Viongozi wetu wote waliopita, waliopo na watakaokuja Baadae In Shaa Allah, Jukumu lao kubwa ni kuilinda Klabu hii kama ilivyoasisiwa na wakubwa
Matimu ambayo kiasili yalianzishwa kwa ajili ya MIGOGORO na CHOKOCHOKO hawawezi kuelewa Hii Falsafa yetu Young Africans Sports Club.
Huyu kijana ana kiwango kidogo sana cha IQ, lakini cha kusikitisha, ukiwa mzungumzaji mzuri hapa Tanzania mara nyingi huonekana kana kwamba una akili.Historia ya Klabu ya Yanga SC kwenye ushiriki wake katika kuleta maendeleo ya Taifa la Tanzania, Kiuchumi, Kisiasa na Kimichezo haijaanza Leo wala jana ..
Ni Klabu hii ya Wananchi iliyobeba sehemu ya Ukombozi wa Taifa hili.. Tumebeba Nembo ya Umoja, Amani, Upendo, Mshikamano na ukarimu wa Raia wa Tanzania
Sio kwa Bahati mbaya Tukawa TIMU YA WANANCHI.
Tuko kwenye Mikono salama WANANCHI wenzangu na Tunapaswa kujipongeza kwa kuibeba Taswira ya Tanzania kwenye MICHEZO.
Viongozi wetu wote waliopita, waliopo na watakaokuja Baadae In Shaa Allah, Jukumu lao kubwa ni kuilinda Klabu hii kama ilivyoasisiwa na wakubwa
Matimu ambayo kiasili yalianzishwa kwa ajili ya MIGOGORO na CHOKOCHOKO hawawezi kuelewa Hii Falsafa yetu Young Africans Sports Club.
Yanga wote ni CCM yaani wanakera mafala hao.Mashabiki wa yanga ambao sio wanaccm mmewakwaza Sana.
Hahaha, huyu kijana anatumika vibaya , Yan 😂 tanu ya mwalimu Nyerere ukaifananisha na CCM ya Sasa ya akina SethWakati mwingine kama umekosea, ni bora ukajinyamazia tu kimya ili kuficha aibu.