Ali Kamwe Ashindwa Kujieleza Baada ya Mechi ya Yanga na Azam 🤣🤣

Ali Kamwe Ashindwa Kujieleza Baada ya Mechi ya Yanga na Azam 🤣🤣

Sijui watanzania huwa tunataka nn hv yanga akishinda kila siku amuoni kwamba ligi inapoteza mvuto ifike atua mpaka mechi ya mwisho ya ligi bigwa awe hajulikana. Mm ni yanga tena lialia ila sijahumia natamani simba ikaze zaidi na azam waongeze juhuudi ili tuendelee kwenda bar na vibanda umiza kuangalia mpira. Sio raound ya kwanza inaisha eti anayeongoza ligi kamzidi wa nyuma yake point 12.
 
Tunda Man Nyimbo -Yanga Hii Unaifungaje

Nyoo Leo Imefungwaje 🤣😂😂🤣🤣🤣
 
Amesikika akishindwa Kumalizia Sentensi na Kuishia Neno Hatu baada ya Kipigo kizito kutoka kwa Azam..


View: https://x.com/Roma_Mkatoliki/status/1852758396245799166

Sisi ndiyo Simba SC AKA;

1. Makolokolo SC.
2. Mbumbumbu SC.
3. Mipang'ang'a SC.
4. Malalamiko (Lialia) SC.
5. Makelele SC.
6. Madunduka SC.
7. Manyaunyau (mapaka) SC.
8. Mwakarobo SC.
9. Mikia SC.
10. Miso Misonda SC.
11. Manyang'au SC.
12. Mazumbukuku SC.
13. Mazombi SC.
14. Kinyume nyume SC.
15. Ngada SC.
16. Kolowizard SC
17. Zuwena SC.
18. Bebwabebwa (Mbeleko) SC.
19. Panya roads SC.
20. Kikanuni SC.
21. Kufa Kiume SC
22. Ubaya ubwege SC.
23. 5imba SC.
24. Visingizio SC (Visababu)
JamiiForums1683832807.jpeg
 
Yeye aseme kama Ahmed ally jinsi anavyosema " sisi tunakubali kila kitu Wacha waseme tutakubali kila kitu
 
Back
Top Bottom