Ali Kamwe Ashindwa Kujieleza Baada ya Mechi ya Yanga na Azam 🤣🤣

Ali Kamwe Ashindwa Kujieleza Baada ya Mechi ya Yanga na Azam 🤣🤣

Sijui watanzania huwa tunataka nn hv yanga akishinda kila siku amuoni kwamba ligi inapoteza mvuto ifike atua mpaka mechi ya mwisho ya ligi bigwa awe hajulikana. Mm ni yanga tena lialia ila sijahumia natamani simba ikaze zaidi na azam waongeze juhuudi ili tuendelee kwenda bar na vibanda umiza kuangalia mpira. Sio raound ya kwanza inaisha eti anayeongoza ligi kamzidi wa nyuma yake point 12.
Watu hawaoni Kwa man city pale epl
 
1730609832293.jpg

Huyu hapa. Ila inaonekana kama nchi mlikuwa mnaisubiria hii moment kwa hamu sana maana si kwa masimango haya. 😀😀😀
 
Back
Top Bottom