Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Msemaji wa Young Africans SC, Ali Kamwe, amesema uongozi wa Yanga umekuwa makini na umepanga kwa weledi kuhakikisha mafanikio ya klabu yanaendelea.
"Uongozi wetu umefanya maamuzi sahihi katika wakati sahihi kwa maslahi ya furaha ya wana Yanga."
"Wakati Uongozi wa Young Africans SC unamleta Kocha Nabi akiwa ameachana na Al-Merrikh hakuna Mtanzania aliyejua nini kitatokea, Mwishowe Nabi ameondoka Young Africans akiwa na Medali ya CAF kwenye Begi lake, Kwa Gamondi ilikuwa hivyo hivyo, leo hii Uongozi umetuletea Ramovic, Uongozi wetu haujakurupuka upo makini na umefanya haya yote kwaajili ya Furaha ya Wananchi."
Soma, Pia: Rasmi: Sead Ramovic amrithi Gamondi! Atangazwa kuwa Kocha Mkuu mpya wa Yanga