OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Taarifa Rasmi ya Yanga kupitia msemaji wake.
My Take
Hivi huyu jamaa anawaonaje fans wa Yanga?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sasa c angemwambia refa, na bado round inayokuja ndo mtacheza sana maweView attachment 3149389
Taarifa Rasmi ya Yanga kupitia msemaji wake
hadi wachezaji wanaona mawe badala ya mpira aisee kazi wanayoUto wameanza kuweweseka baada ya vipigo viwili mfululizo,
Tatizo waliona hawawezi kufungwa na timu yoyote kisa eti wamemsajili chama na baleke.
Yaan kuweweseka mpaka kuhama uwanja🤣🤣🤣🤣
Mkuu GENTAMYCINE pitia uzi huu.View attachment 3149389
Taarifa Rasmi ya Yanga kupitia msemaji wake.
My Take
Hivi huyu jamaa anawaonaje fans wa Yanga?
Duh wabongo bwana hawapitwi. Wanajua kabisa jamaa hajamaanisha hivyo ila wamemuungia kibishi kumkera tuView attachment 3149474 mwingine katoa ndogo huko
Inazidi kujidhihirisha😁Wenye akili pale jangwani ni wawili tuu
Sifa moja ya wabongo wengi ni kutafuta excuse wanapo feli vibaya mno, na huyu ni moja ya wapumbav haoView attachment 3149389
Taarifa Rasmi ya Yanga kupitia msemaji wake.
My Take
Hivi huyu jamaa anawaonaje fans wa Yanga?
Au wampe Mzee kilomoni maana nae aliporwa timuNa bado hadi wamrudishie Magoma timu yake.