Ubaya Ubwela
JF-Expert Member
- Jul 24, 2024
- 1,353
- 3,060
Kwa ule uvutaji wa mashisha kwanini asione jiwe, bado atakuna aone mjegeje
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama aliona jiwe kabla au wakati wa kuelekea kupiga, kwanini akapiga? Kwanini asisitishe kupiga?View attachment 3149389
Taarifa Rasmi ya Yanga kupitia msemaji wake.
My Take
Hivi huyu jamaa anawaonaje fans wa Yanga?
Uko upande wa kikeni wote mbumbumbuWenye akili pale jangwani ni wawili tuu
Kwa hiyo akalibutua hivyo hivyo?😂😂😂View attachment 3149389
Taarifa Rasmi ya Yanga kupitia msemaji wake.
My Take
Hivi huyu jamaa anawaonaje fans wa Yanga?
Batazari😂😂😂🤣🤣🤣🤣😃🤣🤣🤣🤣🤣🤣 chama nae akitaka kupiga vyenga anamuona batazari
Uko sahihi. Mwathirika nambari 1 ni Aziz Ki. Inaonesha m'bongo Hamissa atakuwa anampelekesha mchakamchaka kwelikweli, maana concentration yake ya kawaida akiwa uwanjani imeshuka mno.Ukitoka kupona ugonjwa ni lazima upime ujue nini hasa chanzo cha ugonjwa. Wachezaji wengi sio professional starehe nyingi, ulevi , wanawake hovyo haya mambo walikuwa wanafanya watu wenye vipaji vya kuzaliwa kina Gaucho lakini hawakudumu. Wewe mpira wake unategemea nguvu zako mazoezini halafu kutwa uko clubs usiku. Tuwe serious na hawa wachezaji ukikutwa nje usiku pigwa fine mshahara wa mwezi weka benchi. Lazima watu wawe na nidhamu sio kusingizia viwanja hapa.
Kihasibu imekaaje?!View attachment 3149389
Taarifa Rasmi ya Yanga kupitia msemaji wake.
My Take
Hivi huyu jamaa anawaonaje fans wa Yanga?
Kihasibu imekaaje?View attachment 3149389
Taarifa Rasmi ya Yanga kupitia msemaji wake.
My Take
Hivi huyu jamaa anawaonaje fans wa Yanga?
Dogo msenge sana huyo...Uk
Uko sahihi. Mwathirika nambari 1 ni Aziz Ki. Inaonesha m'bongo Hamissa atakuwa anampelekesha mchakamchaka kwelikweli, maana concentration yake ya kawaida akiwa uwanjani imeshuka mno.
Sasa mtahamia terminal threeUko upande wa kikeni wote mbumbumbu
Taratibu mzee 😀😀😀😀😀Dogo msenge sana huyo...