Ali Kamwe: Azizi Ki aliona jiwe akipiga penati

Ali Kamwe: Azizi Ki aliona jiwe akipiga penati

Kwa ule uvutaji wa mashisha kwanini asione jiwe, bado atakuna aone mjegeje
 
  • Kicheko
Reactions: Tui
Uk
Ukitoka kupona ugonjwa ni lazima upime ujue nini hasa chanzo cha ugonjwa. Wachezaji wengi sio professional starehe nyingi, ulevi , wanawake hovyo haya mambo walikuwa wanafanya watu wenye vipaji vya kuzaliwa kina Gaucho lakini hawakudumu. Wewe mpira wake unategemea nguvu zako mazoezini halafu kutwa uko clubs usiku. Tuwe serious na hawa wachezaji ukikutwa nje usiku pigwa fine mshahara wa mwezi weka benchi. Lazima watu wawe na nidhamu sio kusingizia viwanja hapa.
Uko sahihi. Mwathirika nambari 1 ni Aziz Ki. Inaonesha m'bongo Hamissa atakuwa anampelekesha mchakamchaka kwelikweli, maana concentration yake ya kawaida akiwa uwanjani imeshuka mno.
 
Breaking News
Tabora United nao wameomba kwa Bodi ya ligi wahamishie michezo yao ya nyumbani Uwanja wa KMC Mwenge.
Hao Tabora United sijui wanatafuta nini?
 
Back
Top Bottom