Ali Kamwe: Azizi Ki aliona jiwe akipiga penati

Uto wameanza kuweweseka baada ya vipigo viwili mfululizo,
Tatizo waliona hawawezi kufungwa na timu yoyote kisa eti wamemsajili chama na baleke.
Yaan kuweweseka mpaka kuhama uwanja🤣🤣🤣🤣
 
Uto wameanza kuweweseka baada ya vipigo viwili mfululizo,
Tatizo waliona hawawezi kufungwa na timu yoyote kisa eti wamemsajili chama na baleke.
Yaan kuweweseka mpaka kuhama uwanja🤣🤣🤣🤣
hadi wachezaji wanaona mawe badala ya mpira aisee kazi wanayo
 
Reactions: 7ve
Ukitoka kupona ugonjwa ni lazima upime ujue nini hasa chanzo cha ugonjwa. Wachezaji wengi sio professional starehe nyingi, ulevi , wanawake hovyo haya mambo walikuwa wanafanya watu wenye vipaji vya kuzaliwa kina Gaucho lakini hawakudumu. Wewe mpira wake unategemea nguvu zako mazoezini halafu kutwa uko clubs usiku. Tuwe serious na hawa wachezaji ukikutwa nje usiku pigwa fine mshahara wa mwezi weka benchi. Lazima watu wawe na nidhamu sio kusingizia viwanja hapa.
 
Gongowazi ndio hadithi wanazopenda kwamba Aziz Ki aliona jiwe.Na mwingine huko kadai Diarra aliona miguu ya Bajaji.Huyu anaweza kuwa anasema ukweli kwani miguu ya Bajaji ni mitatu.Na goli zilikuwa 3.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…