Ni tajie msemaji yoyote ambaye alipita au yupo Simba na Yanga ambaye hajawahi kuropoka ujingaHabari za wakati huu mashabiki na wapenzi wa soka,
Leo tumshauri ndugu yetu ambaye ni msemaji wa wananchi kwa sasa yaani DAR ES SALAM YOUNG AFRICAN.
Msemaji wa YANGA kwa siku za hivi karibuni amekuwa anafanya vitu vya kitoto sana, Kwanza anajibu kila hoja kutoka kwa wapinzani labda anadhani kufanya hivyo ndio usemaji wenyewe ila ukizoea kujibu hoja siku ukikaa kimya juu ya jambo Fulani watu wataona kuna ukweli.
Yaani hata ukiangalia post zake anaweza akaweka emoji 20 za kucheka tu bila caption. Lakini jingine ni kwamba siku wakati YANGA wanazindua jezi aliacha kufanya promotion ya jezi za yanga akadandia kuvuja kwa jezi simba bila kujua kwamba ule ulikuwa mtego matokeo yake jezi zimedoda na promotion imemshinda. Lakini ukiachana na yote matukio haya yalitosha kumuondoa Ali Kamwe kwenye usemaji:-
1.Tukio la Ali Kamwe na Juma Mgunda alimtukana na kumkejeli kwa kusema akiwekewa Mgunda na andazi yeye anachagua andazi licha ya kuomba msamaha baadae lakini hii haikuwa kauli nzuri kutoka kwake na alikuja kuirudia kwa kumuita mama yake Feisal andazi wakati wana mgogoro naYANGA.
2.Hivi karibuni wakati YANGA ilipoenda kucheza mechi ya NBC Premier League mkoani Tabora alimtukana na kumkejeli mkuu wa mkoa na akawekwa ndani ila baadae alitoka kwa dhamana msemaji unatakiwa uangalie kinachotoka kinywani mwako.
3.Hii ndio ilinishangaza sana msimu uliopita YANGA walichagua kutumia uwanja wa chamazi complex ila ya kaibuka madai ya kwamba wachezaji wa YANGA wanapigwa sindano baada ya kuonekana bomba za sindano chumba walichokuwa wanatumia baadae wakahamia KMC Complex, ila Ali Kamwe alitoa kauli za dharau kwa uwanja huo akidai viti vyake vilikuwa vidogo na pitch mbovu na hauna hadhi ya kutumiwa na team kama YANGA wakati huo ambayo haina hata kiwanja cha mazoezi .
4.Ali Kamwe kwenye Sakata la dana dana za derby alikataa kuhojiwa na CLOUDS FM na aliwakataza pia kulitaja jina la YANGA kwenye uchambuzi wao hata mechi hyo ilipopangiwa tarehe nyingine mpaka leo CLOUDS anapaona kituo cha polisi .
5.Mkataba wa kagoma na YANGA yaani hapa ndio walifanaya utoto wa hali ya juu na wenzake kina abdul aziz Pamoja na privadinyo walipoonekana wameshika nakala za mkataba unaodaiwa ulikuwa wa YANGA na Kagoma wakiwa na mwanasheria wao feki wakati wanajua taratibu haziruhusu walichofanya.
6.Ali Kamwe huyu huyu wakati YANGA wanaenda kucheza na Al hilal ya ibenge alisema wanaenda kuwapiga kama ngoma matokeo yake walifungwa goli moja na kutolewa kwenye mashindano.
7.YANGA kuichangia CCM yaani yeye alitakiwa ajishushe waombe msamaha ila yeye ndio alikuja kuharibu kabisa akidai kwamba CCM haijaanza kusaidiwa leo na YANGA wameanza zamani wakati huo anaodai chama kilikuwa kimoja na sasa ni vyama vingi kama sasa.
8.Ali kamwe hawezi promotion yeye anaweza propaganda licha ya YANGA kufanya vizuri misimu minne mfululizo lakini ameshindwa kuwashawishi mashabiki waende kujaza uwanja kwenye mechi muhimu na kununua jezi za msimu huu ambazo zimedoda sokoni.
9.kudandia kila jambo la SIMBA bila kujua kwamba mengine ni mtego ili team yake itolewe kwenye reli mara anajiita Ali mpanzu yaani kiufupi Ali Kamwe ana utoto mwingi sana na wale wenzake waliokuwa wanalia siku ya harusi yake.
10.kujificha kwenye kivuli cha derby YANGA licha kuchukua ubingwa back to back ila mafanikio yake kwenye caf champions league ni ya kusua sua cha ajabu wanajificha kwenye kivuli cha derby yaani team isajili wachezaji kutoka nje halafu iishie mtoano kila mwaka ukiwagusa wanasema derby tumemfunga mtani.
Alamsik.
Wananchi mkanunue jezi yaliyopita si ndwele.
Ila aliyekaribu na Ali Kamwe amshauri aache kuropoka maana maadui zake ni wengi kuliko marafiki wanamtafutia angle na mmoja ni diwani mtarajiwa.
Mbona mnalazimisha mambo yenu mnayoyaamini na sisi tuyaamini?😂😂 Nmeamini u mbumbumbu ni genetic
Hakuna mwana yanga ambaye anachangia anayetoka kwenye hizo sababu nilizotaja ona umerudia kusema mnaifunga simba real Madrid ni team sio kwasababu ya kuchukua laliga mkuu na Madrid siku zote anapata kwa Barcelona ila kwenye champions league mfalme ni mmoja sasa nyie endeleeni kwenye kivuli cha derby hvyo hvyo bingwa wa league kuu hela yake haifiki hata billion moja wakati hyo hela kwenye champions league wanapata walioishia makundi tu endeleeni kukopwa kwenye kombe la AZAM sports federation.Rage aliona mbali alipowaita Mbumbumbu, Sasa hayo yote uliyosema kuhusu Kamwe lipi limeifanya Yanga kama timu kufanya vibaya na yale mazuri ambayo huko Simba yamefanywa yamewapa nini dhidi ya Yanga kwa misimu 4 mfululizo? Utoto zaid upo kwenu kudanganywa kuwa mpo fiti ila mkitia mguu mnakula nyundo, najua jinsi ulivyo Mbumbumbu utasema mpo wa 5 wakat hata nusu hamjawahi kufika tangu dunia iumbwe ila kwa kuwa ninyi ni Mbumbumbu wameamua kuwafurahisha kwenye hilo ila mkiambiwa nendeni pale Mazembe mtakuta makombe ambayo hamjawahi na kwa miaka 30 ijayo tuna uhakika hamtapata makombe kama ya Mazembe ila mlivyo Mbumbumbu mnatembea mkijisifu mna mafanikio
Unateseka ukiwa wapi?Habari za wakati huu mashabiki na wapenzi wa soka,
Leo tumshauri ndugu yetu ambaye ni msemaji wa wananchi kwa sasa yaani DAR ES SALAM YOUNG AFRICAN.
Msemaji wa YANGA kwa siku za hivi karibuni amekuwa anafanya vitu vya kitoto sana, Kwanza anajibu kila hoja kutoka kwa wapinzani labda anadhani kufanya hivyo ndio usemaji wenyewe ila ukizoea kujibu hoja siku ukikaa kimya juu ya jambo Fulani watu wataona kuna ukweli.
Yaani hata ukiangalia post zake anaweza akaweka emoji 20 za kucheka tu bila caption. Lakini jingine ni kwamba siku wakati YANGA wanazindua jezi aliacha kufanya promotion ya jezi za yanga akadandia kuvuja kwa jezi simba bila kujua kwamba ule ulikuwa mtego matokeo yake jezi zimedoda na promotion imemshinda. Lakini ukiachana na yote matukio haya yalitosha kumuondoa Ali Kamwe kwenye usemaji:-
1.Tukio la Ali Kamwe na Juma Mgunda alimtukana na kumkejeli kwa kusema akiwekewa Mgunda na andazi yeye anachagua andazi licha ya kuomba msamaha baadae lakini hii haikuwa kauli nzuri kutoka kwake na alikuja kuirudia kwa kumuita mama yake Feisal andazi wakati wana mgogoro naYANGA.
2.Hivi karibuni wakati YANGA ilipoenda kucheza mechi ya NBC Premier League mkoani Tabora alimtukana na kumkejeli mkuu wa mkoa na akawekwa ndani ila baadae alitoka kwa dhamana msemaji unatakiwa uangalie kinachotoka kinywani mwako.
3.Hii ndio ilinishangaza sana msimu uliopita YANGA walichagua kutumia uwanja wa chamazi complex ila ya kaibuka madai ya kwamba wachezaji wa YANGA wanapigwa sindano baada ya kuonekana bomba za sindano chumba walichokuwa wanatumia baadae wakahamia KMC Complex, ila Ali Kamwe alitoa kauli za dharau kwa uwanja huo akidai viti vyake vilikuwa vidogo na pitch mbovu na hauna hadhi ya kutumiwa na team kama YANGA wakati huo ambayo haina hata kiwanja cha mazoezi .
4.Ali Kamwe kwenye Sakata la dana dana za derby alikataa kuhojiwa na CLOUDS FM na aliwakataza pia kulitaja jina la YANGA kwenye uchambuzi wao hata mechi hyo ilipopangiwa tarehe nyingine mpaka leo CLOUDS anapaona kituo cha polisi .
5.Mkataba wa kagoma na YANGA yaani hapa ndio walifanaya utoto wa hali ya juu na wenzake kina abdul aziz Pamoja na privadinyo walipoonekana wameshika nakala za mkataba unaodaiwa ulikuwa wa YANGA na Kagoma wakiwa na mwanasheria wao feki wakati wanajua taratibu haziruhusu walichofanya.
6.Ali Kamwe huyu huyu wakati YANGA wanaenda kucheza na Al hilal ya ibenge alisema wanaenda kuwapiga kama ngoma matokeo yake walifungwa goli moja na kutolewa kwenye mashindano.
7.YANGA kuichangia CCM yaani yeye alitakiwa ajishushe waombe msamaha ila yeye ndio alikuja kuharibu kabisa akidai kwamba CCM haijaanza kusaidiwa leo na YANGA wameanza zamani wakati huo anaodai chama kilikuwa kimoja na sasa ni vyama vingi kama sasa.
8.Ali kamwe hawezi promotion yeye anaweza propaganda licha ya YANGA kufanya vizuri misimu minne mfululizo lakini ameshindwa kuwashawishi mashabiki waende kujaza uwanja kwenye mechi muhimu na kununua jezi za msimu huu ambazo zimedoda sokoni.
9.kudandia kila jambo la SIMBA bila kujua kwamba mengine ni mtego ili team yake itolewe kwenye reli mara anajiita Ali mpanzu yaani kiufupi Ali Kamwe ana utoto mwingi sana na wale wenzake waliokuwa wanalia siku ya harusi yake.
10.kujificha kwenye kivuli cha derby YANGA licha kuchukua ubingwa back to back ila mafanikio yake kwenye caf champions league ni ya kusua sua cha ajabu wanajificha kwenye kivuli cha derby yaani team isajili wachezaji kutoka nje halafu iishie mtoano kila mwaka ukiwagusa wanasema derby tumemfunga mtani.
Alamsik.
Wananchi mkanunue jezi yaliyopita si ndwele.
Ila aliyekaribu na Ali Kamwe amshauri aache kuropoka maana maadui zake ni wengi kuliko marafiki wanamtafutia angle na mmoja ni diwani mtarajiwa.
Kufika fainali shirikisho ni kipya kwenuMbona mnalazimisha mambo yenu mnayoyaamini na sisi tuyaamini?
Mazuzuz nyie
Ahmed Ally ndo amefika fainali ya shirikisho kwa wasemaji wa Simba...na ndo msemaji wa kwanza kwa hapa Tanzania kuwepo wkt timu yake kwa mara ya kwanza kwenye huu ukanda wa Africa mashariki na kati kuwa namba 5 kwa ubora Africa...
Hizo mbanga za makombe ya ndani kwani kuna kipya gani?? Na sisi misimu 4 ilopita tuliyachukua yoteee...
Inashangaza sana mtu kumfuatilia mwanaume mwenzako kiasi hikiHabari za wakati huu mashabiki na wapenzi wa soka,
Leo tumshauri ndugu yetu ambaye ni msemaji wa wananchi kwa sasa yaani DAR ES SALAM YOUNG AFRICAN.
Msemaji wa YANGA kwa siku za hivi karibuni amekuwa anafanya vitu vya kitoto sana, Kwanza anajibu kila hoja kutoka kwa wapinzani labda anadhani kufanya hivyo ndio usemaji wenyewe ila ukizoea kujibu hoja siku ukikaa kimya juu ya jambo Fulani watu wataona kuna ukweli.
Yaani hata ukiangalia post zake anaweza akaweka emoji 20 za kucheka tu bila caption. Lakini jingine ni kwamba siku wakati YANGA wanazindua jezi aliacha kufanya promotion ya jezi za yanga akadandia kuvuja kwa jezi simba bila kujua kwamba ule ulikuwa mtego matokeo yake jezi zimedoda na promotion imemshinda. Lakini ukiachana na yote matukio haya yalitosha kumuondoa Ali Kamwe kwenye usemaji:-
1.Tukio la Ali Kamwe na Juma Mgunda alimtukana na kumkejeli kwa kusema akiwekewa Mgunda na andazi yeye anachagua andazi licha ya kuomba msamaha baadae lakini hii haikuwa kauli nzuri kutoka kwake na alikuja kuirudia kwa kumuita mama yake Feisal andazi wakati wana mgogoro naYANGA.
2.Hivi karibuni wakati YANGA ilipoenda kucheza mechi ya NBC Premier League mkoani Tabora alimtukana na kumkejeli mkuu wa mkoa na akawekwa ndani ila baadae alitoka kwa dhamana msemaji unatakiwa uangalie kinachotoka kinywani mwako.
3.Hii ndio ilinishangaza sana msimu uliopita YANGA walichagua kutumia uwanja wa chamazi complex ila ya kaibuka madai ya kwamba wachezaji wa YANGA wanapigwa sindano baada ya kuonekana bomba za sindano chumba walichokuwa wanatumia baadae wakahamia KMC Complex, ila Ali Kamwe alitoa kauli za dharau kwa uwanja huo akidai viti vyake vilikuwa vidogo na pitch mbovu na hauna hadhi ya kutumiwa na team kama YANGA wakati huo ambayo haina hata kiwanja cha mazoezi .
4.Ali Kamwe kwenye Sakata la dana dana za derby alikataa kuhojiwa na CLOUDS FM na aliwakataza pia kulitaja jina la YANGA kwenye uchambuzi wao hata mechi hyo ilipopangiwa tarehe nyingine mpaka leo CLOUDS anapaona kituo cha polisi .
5.Mkataba wa kagoma na YANGA yaani hapa ndio walifanaya utoto wa hali ya juu na wenzake kina abdul aziz Pamoja na privadinyo walipoonekana wameshika nakala za mkataba unaodaiwa ulikuwa wa YANGA na Kagoma wakiwa na mwanasheria wao feki wakati wanajua taratibu haziruhusu walichofanya.
6.Ali Kamwe huyu huyu wakati YANGA wanaenda kucheza na Al hilal ya ibenge alisema wanaenda kuwapiga kama ngoma matokeo yake walifungwa goli moja na kutolewa kwenye mashindano.
7.YANGA kuichangia CCM yaani yeye alitakiwa ajishushe waombe msamaha ila yeye ndio alikuja kuharibu kabisa akidai kwamba CCM haijaanza kusaidiwa leo na YANGA wameanza zamani wakati huo anaodai chama kilikuwa kimoja na sasa ni vyama vingi kama sasa.
8.Ali kamwe hawezi promotion yeye anaweza propaganda licha ya YANGA kufanya vizuri misimu minne mfululizo lakini ameshindwa kuwashawishi mashabiki waende kujaza uwanja kwenye mechi muhimu na kununua jezi za msimu huu ambazo zimedoda sokoni.
9.kudandia kila jambo la SIMBA bila kujua kwamba mengine ni mtego ili team yake itolewe kwenye reli mara anajiita Ali mpanzu yaani kiufupi Ali Kamwe ana utoto mwingi sana na wale wenzake waliokuwa wanalia siku ya harusi yake.
10.kujificha kwenye kivuli cha derby YANGA licha kuchukua ubingwa back to back ila mafanikio yake kwenye caf champions league ni ya kusua sua cha ajabu wanajificha kwenye kivuli cha derby yaani team isajili wachezaji kutoka nje halafu iishie mtoano kila mwaka ukiwagusa wanasema derby tumemfunga mtani.
Alamsik.
Wananchi mkanunue jezi yaliyopita si ndwele.
Ila aliyekaribu na Ali Kamwe amshauri aache kuropoka maana maadui zake ni wengi kuliko marafiki wanamtafutia angle na mmoja ni diwani mtarajiwa.
Kaangalie instagram ya Ali kamwe halafu urudi hapa uone nani mwanaume kamili inakuwaje mwanaume kamili mwanaume mwenzako anaoa wewe unalia kama ule ndio uanaume basi mimi nimeaga chama.Inashangaza sana mtu kumfuatilia mwanaume mwenzako kiasi hiki
Ndio maana nikasema ukiwa yanga lazima dish liyumbe msemaji wenu alisema siku wakishika namba tano Africa kwanza watapiga kigoma dar es Salam yote halafu kilele kinafanyika jangwani wakinywa supu halafu ww unasema rank haina maana ngoja niitafute ile video yake ili tujue nani mbumbu kati ya mnywa supu ya ulimi na vijana wa msimbazi.Ndugu unaandika Bango kuubwa limejaa pumba.
Inaonekana wewe ni mchanga katika Mpira wa miguu na propaganda zake apa Nchini.
Kwa kifupi Ally amefanikiwa katika eneo la Propaganda na uwanjaniani.
Iyo ndio kazi yake ya Msingi.
Ally ame hakikisha Mbumbumbu off season na on season hampumui.
Kuhusu mashindano ya CAF Simba na Yanga hawana cha kujivunia.
Katika Mpira wa Miguu ni Mataji pekee ndio yanahesabika kama mafanikio, Simba ata ikishika namba Moja kwa ubora katika Rank za CAF Haina maana yoyote katika soka.
Mabingwa wote Duniani wanatambuliwa kwa makombe na si Rank.
Ewaa hapo ndio umeonyesha ni namna ni mbu3,kolo leo hii aitakie mema Yanga ipate msemaji mwingine mzuri eti kamwe afit ile nafasi 😄,kamwe anapiga tu kichwani 😄Niko hapa avic town na jezi ya kukaba shingo msimu huu
Ana utoto gani? Mbona alikupa mimba na kukutelekeza na mimba yako ndo maana ya hasira zisizokuwa na sababu.Hapa tuna mshauri tu mkuu lengo ni kujenga mwambieni aache utoto.