Ali Kamwe hafai tena kuwa msemaji wa Yanga

Vipi kuhusu semaji lenu au tukupe wewe basi usemaji mkuu
Msemaji gani hapa tunamzungumzia Ali Kamwe mkuu unadhani kujaza uwanja kwa team ambayo haijachukua league misimu minne mfululizo na kufungwa na mtani sio kazi rahisi.
 
Mikia bwana. Lini mkaitakia mema Yanga. Huyo Ally Kamwe ndiye anayefaa kwa sasa na anaifanya kazi yake vizuri
Mkuu umeshanunua jezi lakini.
 
Reactions: Tui
Mimi ni 5IMBA lia lia lakini naona Ally Kamwe anafanya kazi yake vizuri. Naumia tu mimi nikiwa kolo mwandamizi.
Kweli mkuu nakupa zawadi ya jezi ile ya kijani na baiskeli ya CCM kama zawadi.
 
Ni tajie msemaji yoyote ambaye alipita au yupo Simba na Yanga ambaye hajawahi kuropoka ujinga
 
Rage aliona mbali alipowaita Mbumbumbu, Sasa hayo yote uliyosema kuhusu Kamwe lipi limeifanya Yanga kama timu kufanya vibaya na yale mazuri ambayo huko Simba yamefanywa yamewapa nini dhidi ya Yanga kwa misimu 4 mfululizo? Utoto zaid upo kwenu kudanganywa kuwa mpo fiti ila mkitia mguu mnakula nyundo, najua jinsi ulivyo Mbumbumbu utasema mpo wa 5 wakat hata nusu hamjawahi kufika tangu dunia iumbwe ila kwa kuwa ninyi ni Mbumbumbu wameamua kuwafurahisha kwenye hilo ila mkiambiwa nendeni pale Mazembe mtakuta makombe ambayo hamjawahi na kwa miaka 30 ijayo tuna uhakika hamtapata makombe kama ya Mazembe ila mlivyo Mbumbumbu mnatembea mkijisifu mna mafanikio
 
😂😂 Nmeamini u mbumbumbu ni genetic
Mbona mnalazimisha mambo yenu mnayoyaamini na sisi tuyaamini?
Mazuzuz nyie
Ahmed Ally ndo amefika fainali ya shirikisho kwa wasemaji wa Simba...na ndo msemaji wa kwanza kwa hapa Tanzania kuwepo wkt timu yake kwa mara ya kwanza kwenye huu ukanda wa Africa mashariki na kati kuwa namba 5 kwa ubora Africa...
Hizo mbanga za makombe ya ndani kwani kuna kipya gani?? Na sisi misimu 4 ilopita tuliyachukua yoteee...
 
Hakuna mwana yanga ambaye anachangia anayetoka kwenye hizo sababu nilizotaja ona umerudia kusema mnaifunga simba real Madrid ni team sio kwasababu ya kuchukua laliga mkuu na Madrid siku zote anapata kwa Barcelona ila kwenye champions league mfalme ni mmoja sasa nyie endeleeni kwenye kivuli cha derby hvyo hvyo bingwa wa league kuu hela yake haifiki hata billion moja wakati hyo hela kwenye champions league wanapata walioishia makundi tu endeleeni kukopwa kwenye kombe la AZAM sports federation.
 
Reactions: Tui
Nimeamini ma utopolo ni mazwazwa...aka Mazuzu..kama hujaona mafanikio ya Simba ni kwa sbb unaleta ugumu wa komwe lako tuu...
Na hatukulazimishi..na usitulazimishe kuona makombe ya ndani ndo yana maana sana hata kama hatujachukua la Africa ila tumepiga hatua kubwa sana kwny mashindano ya kimataifa.....kwa sbb miaka mnayojisifia kuchukua mnasahau na sisi miaka 4 nyuma tuliyachukua...
 
Ndugu unaandika Bango kuubwa limejaa pumba.
Inaonekana wewe ni mchanga katika Mpira wa miguu na propaganda zake apa Nchini.
Kwa kifupi Ally amefanikiwa katika eneo la Propaganda na uwanjaniani.
Iyo ndio kazi yake ya Msingi.

Ally ame hakikisha Mbumbumbu off season na on season hampumui.

Kuhusu mashindano ya CAF Simba na Yanga hawana cha kujivunia.
Katika Mpira wa Miguu ni Mataji pekee ndio yanahesabika kama mafanikio, Simba ata ikishika namba Moja kwa ubora katika Rank za CAF Haina maana yoyote katika soka.
Mabingwa wote Duniani wanatambuliwa kwa makombe na si Rank.
 
Unateseka ukiwa wapi?
 
Kufika fainali shirikisho ni kipya kwenu
 
Inashangaza sana mtu kumfuatilia mwanaume mwenzako kiasi hiki
 
Inashangaza sana mtu kumfuatilia mwanaume mwenzako kiasi hiki
Kaangalie instagram ya Ali kamwe halafu urudi hapa uone nani mwanaume kamili inakuwaje mwanaume kamili mwanaume mwenzako anaoa wewe unalia kama ule ndio uanaume basi mimi nimeaga chama.
 
Ndio maana nikasema ukiwa yanga lazima dish liyumbe msemaji wenu alisema siku wakishika namba tano Africa kwanza watapiga kigoma dar es Salam yote halafu kilele kinafanyika jangwani wakinywa supu halafu ww unasema rank haina maana ngoja niitafute ile video yake ili tujue nani mbumbu kati ya mnywa supu ya ulimi na vijana wa msimbazi.
 
Niko hapa avic town na jezi ya kukaba shingo msimu huu
Ewaa hapo ndio umeonyesha ni namna ni mbu3,kolo leo hii aitakie mema Yanga ipate msemaji mwingine mzuri eti kamwe afit ile nafasi 😄,kamwe anapiga tu kichwani 😄
 
Mkuu Pwilo najaribu kuwaza tu, iwapo wewe ukipewa hiyo kazi ya kijana utaiweza japo robo tu? Kazi ngumu mno yenye lawama mzigo!

Huwa nikiandika madude flani ya nguvu ya kisomi pages 40 basi ukosoaji utakuwa grade one toka kila upande, sasa waambie wakosoaji waandike japo one page, hata introduction one paragraph hawawezi, kila mmoja atashika njia yake!

Nafikiri ni utamaduni wetu watz kutafuta weaknesses za mtu na kuzikuza na sio yale mazuri yake ya kufanya hamasa kwa wananchi na kuitungua Simba mara tano na ya sita inakuja soon! Mabango ya ushindi wetu utopolo kwenye ngao ya jamii yameanza kuchorwa, hakika kijana anajua kukera, hongera mno!!
 
Hapa tuna mshauri tu mkuu lengo ni kujenga mwambieni aache utoto.
Ana utoto gani? Mbona alikupa mimba na kukutelekeza na mimba yako ndo maana ya hasira zisizokuwa na sababu.
Aache kazi utatunza familia yake?
Alikupa mimba nenda myamalize geto alikokupea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…