Ali Kamwe hafai tena kuwa msemaji wa Yanga

Mulianza kwa Manara sasa mumeamia kwa Kamwe.
Watanzania fanyeni kazi acheni kuwaharibia wenzenu.
 
Hii ya kupiga kichwa ni ya Ali K?
😆😆 Anawaumiza wenzake mana huko Unyamani wameanza kuandaa mkongo,mihogo,karanga,nazi n.k
 
Mkuu umeshanunua jezi lakini.
Mkuu ushauri wako ni bure tu unapoteza nguvu ya kulitumikia taifa. Ally anatimiza wajibu wake vizuri sana.

Hivi nikikuambia humu nimenunua jezi inaongeza nini?
 
Mkuu ushauri wako ni bure tu unapoteza nguvu ya kulitumikia taifa. Ally anatimiza wajibu wake vizuri sana.

Hivi nikikuambia humu nimenunua jezi inaongeza nini?
Inaongeza pato la yanga moja kwa moja lakini pia CCM na wao watapata gawio lao
 
Ana utoto gani? Mbona alikupa mimba na kukutelekeza na mimba yako ndo maana ya hasira zisizokuwa na sababu.
Aache kazi utatunza familia yake?
Alikupa mimba nenda myamalize geto alikokupea
Acha matusi kijana hapa tunaongea vitu vya msingi punguza wenge sio lazima uchangie tuliza mshono Abdul Aziz ndio ana mimba ya Ali kamwe ndio maana ilikuwa analia alipooa mume wake.
 
Inaongeza pato la yanga moja kwa moja lakini pia CCM na wao watapata gawio lao
Kuongea humu hakuongezi wala kupunguza mauzo. Umemsikia GSM analalamika? Cha ajabu wanaolalamika jezi za Yanga hazitoki ni mashabiki wa Simba.

Yaani shabiki wa Simba uwe una duka la sports kits na umejipambanua upande wako, halafu duka liwe na bango kubwa la mikia utegemee mashabiki wa Yanga watakuja humo kununua jezi? Hizo utabaki nazo na kuishia kulalamika.
 
Wanaolalamika ni wauzaji wa jezi hujaona kina shafih dauda wanavyolalamika huko wateja hamna nenda kachangie CCM mkuu wapate hela za campaign.
 
Usisahu pia Kawaombea wana utopolo mpewe ViChwa [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Jezi zina misalaba hatununui!
 
Lakini ndio kiongozi mwenye mafanikio kuliko wote waliopita simba team ipo nafasi ya 5 kwa ubora Africa na imecheza fainali ya Caf confederation cup nyie endeleeni kujiandaa na ngao dhidi ya simba.
Kumbe kolo, a.k.a NGADA FC, a.k.a MBUMBUMBU
 
Kumbe kolo, a.k.a NGADA FC, a.k.a MBUMBUMBU
Sema Kule ulipo wewe wenyewe akili ni wawili wazee wa supu hakuna team duniani inayopika supu na mambulula wa jangwani tu waliombiwa watajengewa uwanja wa kimataifa kwenye stand ya mwendo kasi na engineer hersi mtu mwenye tamaa ya ubunge duniani yeye na Arafat wameliwa vichwa na wajumbe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…