Ali Kamwe, Haji Manara, Injinia Hersi na wana Yanga SC mlisema hamtawaiga Simba SC. Je, hiki mtakachofanya kesho siyo Kuwaiga?

"Kesho Uongozi wa Yanga SC umealikwa na Wana Yanga SC wa Mbagala ili twende Kuzindua Hamasa ya Kuelekea Mechi yetu ya Jumapili dhidi ya TP Mazembe na Ijumaa hadi Jumamosi pia kutakuwa na Matukio ya Kuhamasishana na Kufundishana jinsi ya Kushangilia" amesema Ali Kamwe Msemaji wa Yanga SC muda mfupi uliopita alipokuwa akizungumza na Sports Extra ya Clouds FM.

MINOCYCLINE nakukumbusha Kauli ya Msemaji wa Yanga SC Ali Kamwe aliyoitoa mwaka Jana baada tu ya Kutangazwa kama Msemaji mpya wa Yanga SC baada ya Kuulizwa kuwa je, na Yeye atakuwa akimuiga Msemaji wa Simba SC Ahmed Ally na Klabu ya Simba katika kufanya Hamasa ya Kujaza Uwanja katika Michuano ya Kimataifa?

"Yanga SC ni Timu Kubwa na hatuna haja ya Kuzunguka hovyo Mitaani kama Wehu Kuhamasisha Watu bali Mashabiki wa Yanga SC wana Akili, Wanajitambua na hujaza Uwanja bila ya hata Kuhamasishwa kama Wengine na sina muda wa Kuzunguka na Kipaza Sauti kama Muuza Mitumba kuhamasisha Mashabiki" alisema Ali Kamwe Msemaji wa Yanga SC.

Mkiwa Wanafiki msiwe Wasahaulifu na msidhani Watu Wengine ni Majuha kama mlivyo hivyo mkiwa mnatoa Kauli zenu mkiwa mmelewa Wanzuki basi tutasahau.

Kudadadeki.
Kwani umesahau kuwa pale wenye akili ni wawili
 
Wameiga au hawajaiga kwangu naona ni approach sahihi kuelekea kwenye match waongeze TU kutoa elimu ya upatikanaji wa tiketi
 
"Kesho Uongozi wa Yanga SC umealikwa na Wana Yanga SC wa Mbagala ili twende Kuzindua Hamasa ya Kuelekea Mechi yetu ya Jumapili dhidi ya TP Mazembe na Ijumaa hadi Jumamosi pia kutakuwa na Matukio ya Kuhamasishana na Kufundishana jinsi ya Kushangilia" amesema Ali Kamwe Msemaji wa Yanga SC muda mfupi uliopita alipokuwa akizungumza na Sports Extra ya Clouds FM.

MINOCYCLINE nakukumbusha Kauli ya Msemaji wa Yanga SC Ali Kamwe aliyoitoa mwaka Jana baada tu ya Kutangazwa kama Msemaji mpya wa Yanga SC baada ya Kuulizwa kuwa je, na Yeye atakuwa akimuiga Msemaji wa Simba SC Ahmed Ally na Klabu ya Simba katika kufanya Hamasa ya Kujaza Uwanja katika Michuano ya Kimataifa?

"Yanga SC ni Timu Kubwa na hatuna haja ya Kuzunguka hovyo Mitaani kama Wehu Kuhamasisha Watu bali Mashabiki wa Yanga SC wana Akili, Wanajitambua na hujaza Uwanja bila ya hata Kuhamasishwa kama Wengine na sina muda wa Kuzunguka na Kipaza Sauti kama Muuza Mitumba kuhamasisha Mashabiki" alisema Ali Kamwe Msemaji wa Yanga SC.

Mkiwa Wanafiki msiwe Wasahaulifu na msidhani Watu Wengine ni Majuha kama mlivyo hivyo mkiwa mnatoa Kauli zenu mkiwa mmelewa Wanzuki basi tutasahau.

Kudadadeki.
mbona una mawenge Sana.
 
Yanga wajinga sanaa
caamil_88-20230217-0001.jpg
View attachment 2520774
 
Back
Top Bottom