Ali Kamwe: Kasongo alisema Kuna Kiongozi mkubwa wa Serikali alipiga simu geti la Uwanja wa Taifa lisifunguliwe

Frank Wanjiru

Platinum Member
Joined
Apr 12, 2012
Posts
25,686
Reaction score
46,842
“Ni kweli tulipokea barua ya wito Juni 7 na leo tumeshiriki kikao kama tulivyoombwa na bodi ya Ligi kwenye kikao hiki maalum ambacho hakikuwa cha maandalizi ya mechi bali ni kujadili sintofahamu ya mchezo namba 184 wa Ligi Kuu.

“Kwenye kikao chetu tuliuliza pia kuhusu ripoti ya kilichotokea Machi 8, na CEO wa Bodi ya Ligi, Almasi Kasongo akakiri kuwa ripoti wanayo na kuna kiongozi mkubwa wa Serikali alipiga simu kuzuia geti la uwanja lisifunguliwe.

lakini hawawezi kumtaja hadharani. Nashangaa hili hajalisema kwenye tuliyoyazungumza leo, tumshauri akiamua kusema aseme yote asibakishe”

Ali Kamwe Meneja Habari na Mawasiliano Yanga SC.
 
Kwahiyo bodi ya ligi nayo inaingiliwa kwenye maamuzi yake, basi haiko huru, haya si ndio kama haya yanayokataliwa katika tume ya uchaguzi tu?😅😅😅
 
“Ni kweli tulipokea barua ya wito Juni 7 na leo tumeshiriki kikao kama tulivyoombwa na bodi ya Ligi kwenye kikao hiki maalum ambacho hakikuwa cha maandalizi ya mechi bali ni kujadili sintofahamu ya mchezo namba 184 wa Ligi Kuu.

“Kwenye kikao chetu tuliuliza pia kuhusu ripoti ya kilichotokea Machi 8, na CEO wa Bodi ya Ligi, Almasi Kasongo akakiri kuwa ripoti wanayo na kuna kiongozi mkubwa wa Serikali alipiga simu kuzuia geti la uwanja lisifunguliwe.

lakini hawawezi kumtaja hadharani. Nashangaa hili hajalisema kwenye tuliyoyazungumza leo, tumshauri akiamua kusema aseme yote asibakishe”

Ali Kamwe Meneja Habari na Mawasiliano Yanga SC.
JamiiForums63784684 (1).jpeg
 
Mzee Kasongo amechanganyikiwa. Hapa kajichanganya na ni kweli kwa kuwa mama alikuwa kwenye siku ya wanawake ilitakiwa debit isiwepo ili mama atrend.

Inasikitisha sana.
Nakuongezea na hili. Siku ya tarehe 8 lisu alikuwa mlimani city na alikuwa akitangaza NO REFORMS NO ELECTION mgeni rasmi alikuwa dr slaa. So wangeachwa wangetrend kuliko bi ushungi aliyekuwa mwanza siku hiyo.
Ikaamuliwa game iahirishwe ili kuhamisa magoli .
Na huyo kiongozi ni wa ccm.wajinga sana hawa TISS
 
Uyo ni Mkuu wa Mawaziri na ndio maana Waziri Kabudi alipo ona Ngoma Nzito ameamua atulie.
Kwakua kwenye kikao baina ya bodi na Yanga alitajwa iyo sio siri tena.

Simba aliiamua kukimbia mechi kupitia Kiongozi mkuu serikalini ku mwamrisha Meneja asifungue Geti ili timu yake ikimbie.
Sio Siri tena,, upepo umepuliza tupu za kuku zinaonekana.
 
Nakuongezea na hili. Siku ya tarehe 8 lisu alikuwa mlimani city na alikuwa akitangaza NO REFORMS NO ELECTION mgeni rasmi alikuwa dr slaa. So wangeachwa wangetrend kuliko bi ushungi aliyekuwa mwanza siku hiyo.
Ikaamuliwa game iahirishwe ili kuhamisa magoli .
Na huyo kiongozi ni wa ccm.wajinga sana hawa TISS
Sasa kumbe Hawa wahuni ni wao wenyewe
 
Back
Top Bottom