Ali Kamwe: Kasongo alisema Kuna Kiongozi mkubwa wa Serikali alipiga simu geti la Uwanja wa Taifa lisifunguliwe

Sasa huyo kiongozi alieamrisha mageti ya uwanja yasifunguliwe mbona tulimsikia akitamba huko bungeni kuwa Hatuchezi.

  • Ni mjumbe kwenye Kamati za timu ya Yanga
  • Pia anaifadhili Singida big stars
*Fifa inaweza kutufungia Kwa sababu huyu ni kiongozi wa Serekali ameingilia mambo ya Michezo Kwa kuleta mabaunsa kizuia Simba isiingie uwanjani.
 
Mzee Kasongo amechanganyikiwa. Hapa kajichanganya na ni kweli kwa kuwa mama alikuwa kwenye siku ya wanawake ilitakiwa debit isiwepo ili mama atrend.

Inasikitisha sana.
aliyesema ni kasongo au alikamwe?hahahahahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
tarehe 14 tunaenda kupasha misuli moto mapema sana mida ya saa 11 hapo mkapa then 15 tunakuja kuchukua point za bure tunajiandaa kwa paredi,ukija kuleta fujo utapigika kama mwizi hahahahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Klabu ya Yanga Sc imethibitisha kuwa mnamo Juni 7, 2025 ilipokea barua kutoka Bodi ya Ligi Kuu Tanzania kwa ajili ya kuhudhuria kikao maalum cha kujadili masuala yahusuyo mchezo namba 184 wa Ligi Kuu ya NBC, YANGA dhidi ya Simba na kubainisha kuwa uongozi wa klabu hiyo umetii wito huo.

Taarifa ya leo Juni 9, 2025 iliyotolewa na Kamati ya Utendaji ya klabu hiyo imeeleza kuwa uongozi wa klabu hiyo umeshiriki kikao hicho kilichofanyika leo kwenye ofisi za Bodi ya Ligi Tanzania zilizopo jengo la NSSF Mafao House, Dar Es Salaam, kuanzia saa 4:00 asubuhi na kubainisha kuwa imewasilisha msimamo wake kuwa haitashiriki mchezo huo mpaka pale matakwa yao yatakapotimizwa

“Baada ya majadiliano ya saa kadhaa, Viongozi wa Klabu waliwasilisha msimamo wa Klabu YETU kuwa hatutashiriki mchezo namba 184 uliopangwa kufanyika tarehe 15 Juni 2025 mpaka pale matakwa yetu tuliyoyawasilisha kwa maandishi kwao yatakapotimizwa.” — imesema sehemu ya taarifa hiyo.

“Tunawatakia kila la heri Bodi ya Ligi na Shirikisho la Mpira wa Miguu Nchini katika kushughulikia matakwa yetu yenye mustakabali mkubwa kwenye maendeleo ya mpira wa miguu Tanzania.” — imesema Yanga Sc
1749494358645.jpg
 
Unapenda sana unafiki wa kuficha ujinga wewe.

Ukweli tu ndiyo huponya
Daah! Hiyo kupenda sana ndio unaharibu maana ni mmoja tu ndio unafahamu kupenda sana kwangu.

Kwa maoni yangu kusema kuna kiongozi mkubwa katoa hiyo kauli kwenye hicho kikao kakosea. Ili huo unafiki usiwepo angemtaja. Vinginevyo wewe na yeye ni wanafiki hamna ukweli wowote.
 
Itakuwa hata ile derby ya siku Mwinyi anazindua kitabu ni yeye aliyependekeza ipelekwe muda mbele. Ana ushabiki wa kishamba sana.
 
“Ni kweli tulipokea barua ya wito Juni 7 na leo tumeshiriki kikao kama tulivyoombwa na bodi ya Ligi kwenye kikao hiki maalum ambacho hakikuwa cha maandalizi ya mechi bali ni kujadili sintofahamu ya mchezo namba 184 wa Ligi Kuu.

“Kwenye kikao chetu tuliuliza pia kuhusu ripoti ya kilichotokea Machi 8, na CEO wa Bodi ya Ligi, Almasi Kasongo akakiri kuwa ripoti wanayo na kuna kiongozi mkubwa wa Serikali alipiga simu kuzuia geti la uwanja lisifunguliwe.

lakini hawawezi kumtaja hadharani. Nashangaa hili hajalisema kwenye tuliyoyazungumza leo, tumshauri akiamua kusema aseme yote asibakishe”

Ali Kamwe Meneja Habari na Mawasiliano Yanga SC.
Mze wa upwiru (Ally Kamwe) anajiamini nini huyu, atatekwa shauri yake.....CCM haipendi ukweli hata siku moja, haswa ukiwataja viongozi wake hadharani.
 
“Ni kweli tulipokea barua ya wito Juni 7 na leo tumeshiriki kikao kama tulivyoombwa na bodi ya Ligi kwenye kikao hiki maalum ambacho hakikuwa cha maandalizi ya mechi bali ni kujadili sintofahamu ya mchezo namba 184 wa Ligi Kuu.

“Kwenye kikao chetu tuliuliza pia kuhusu ripoti ya kilichotokea Machi 8, na CEO wa Bodi ya Ligi, Almasi Kasongo akakiri kuwa ripoti wanayo na kuna kiongozi mkubwa wa Serikali alipiga simu kuzuia geti la uwanja lisifunguliwe.

lakini hawawezi kumtaja hadharani. Nashangaa hili hajalisema kwenye tuliyoyazungumza leo, tumshauri akiamua kusema aseme yote asibakishe”

Ali Kamwe Meneja Habari na Mawasiliano Yanga SC.
Ali kamwe hazijaenea sijui kaacha kutumia dawa zake?
 
Tangu GSM aka home shopping center ameingia yanga nilijua uhuni kama waliokuwa wanaufanya bandarini na tra enzi za jk basi utaingia ktk mpira wetu.jpm alijua kuwanyoosha
Siku tano kabla ya Magu hajaingia madarakani, kilitokea hiki:

1749532252285.png
 
Nafkiri huyo kiongozi atakua ndio yule yule waliyekamata container yake ilizojaa jersey feki za Simba ,yanga na Azam. maana na yeye hawakutaja mpaka leo japo walisema alilipa fidia maana huyo hua hawamtaji
 
“Ni kweli tulipokea barua ya wito Juni 7 na leo tumeshiriki kikao kama tulivyoombwa na bodi ya Ligi kwenye kikao hiki maalum ambacho hakikuwa cha maandalizi ya mechi bali ni kujadili sintofahamu ya mchezo namba 184 wa Ligi Kuu.

“Kwenye kikao chetu tuliuliza pia kuhusu ripoti ya kilichotokea Machi 8, na CEO wa Bodi ya Ligi, Almasi Kasongo akakiri kuwa ripoti wanayo na kuna kiongozi mkubwa wa Serikali alipiga simu kuzuia geti la uwanja lisifunguliwe.

lakini hawawezi kumtaja hadharani. Nashangaa hili hajalisema kwenye tuliyoyazungumza leo, tumshauri akiamua kusema aseme yote asibakishe”

Ali Kamwe Meneja Habari na Mawasiliano Yanga SC.
Kwa hiyo huyu ndio anaye ihujumu Yanga na kuwabeba tiefuefu na binamu zao bodi
 
“Ni kweli tulipokea barua ya wito Juni 7 na leo tumeshiriki kikao kama tulivyoombwa na bodi ya Ligi kwenye kikao hiki maalum ambacho hakikuwa cha maandalizi ya mechi bali ni kujadili sintofahamu ya mchezo namba 184 wa Ligi Kuu.

“Kwenye kikao chetu tuliuliza pia kuhusu ripoti ya kilichotokea Machi 8, na CEO wa Bodi ya Ligi, Almasi Kasongo akakiri kuwa ripoti wanayo na kuna kiongozi mkubwa wa Serikali alipiga simu kuzuia geti la uwanja lisifunguliwe.

lakini hawawezi kumtaja hadharani. Nashangaa hili hajalisema kwenye tuliyoyazungumza leo, tumshauri akiamua kusema aseme yote asibakishe”

Ali Kamwe Meneja Habari na Mawasiliano Yanga SC.
Hii yote ni kwa sababu team hizi kongwe hazina viwanja vyake.
Ni upuuzi team zina miaka zaidi ya 80 toka zianzishwe zinakosa uwanja
Yaaani unashindwa kwenda NMB, CRDB NA NBC kukopa bilioni 100 ujenge uwanja hata kuingiza watu elfu 20.
 
Back
Top Bottom