Frank Wanjiru
Platinum Member
- Apr 12, 2012
- 25,686
- 46,842
Kwahiyo bodi ya ligi nayo inaingiliwa kwenye maamuzi yake, basi haiko huru, haya si ndio kama haya yanayokataliwa katika tume ya uchaguzi tu?😅😅😅“Ni kweli tulipokea barua ya wito Juni 7 na leo tumeshiriki kikao kama tulivyoombwa na bodi ya Ligi kwenye kikao hiki maalum ambacho hakikuwa cha maandalizi ya mechi bali ni kujadili sintofahamu ya mchezo namba 184 wa Ligi Kuu.
“Kwenye kikao chetu tuliuliza pia kuhusu ripoti ya kilichotokea Machi 8, na CEO wa Bodi ya Ligi, Almasi Kasongo akakiri kuwa ripoti wanayo na kuna kiongozi mkubwa wa Serikali alipiga simu kuzuia geti la uwanja lisifunguliwe.
lakini hawawezi kumtaja hadharani. Nashangaa hili hajalisema kwenye tuliyoyazungumza leo, tumshauri akiamua kusema aseme yote asibakishe”
Ali Kamwe Meneja Habari na Mawasiliano Yanga SC.
“Ni kweli tulipokea barua ya wito Juni 7 na leo tumeshiriki kikao kama tulivyoombwa na bodi ya Ligi kwenye kikao hiki maalum ambacho hakikuwa cha maandalizi ya mechi bali ni kujadili sintofahamu ya mchezo namba 184 wa Ligi Kuu.
“Kwenye kikao chetu tuliuliza pia kuhusu ripoti ya kilichotokea Machi 8, na CEO wa Bodi ya Ligi, Almasi Kasongo akakiri kuwa ripoti wanayo na kuna kiongozi mkubwa wa Serikali alipiga simu kuzuia geti la uwanja lisifunguliwe.
lakini hawawezi kumtaja hadharani. Nashangaa hili hajalisema kwenye tuliyoyazungumza leo, tumshauri akiamua kusema aseme yote asibakishe”
Ali Kamwe Meneja Habari na Mawasiliano Yanga SC.
Mzee Kasongo amechanganyikiwa. Hapa kajichanganya na ni kweli kwa kuwa mama alikuwa kwenye siku ya wanawake ilitakiwa debit isiwepo ili mama atrend.Alipokosea ni kusema hiyo kauli kwenye kikao Chao. Kuna mambo hayasemwi hata kama yametokea.
Nakuongezea na hili. Siku ya tarehe 8 lisu alikuwa mlimani city na alikuwa akitangaza NO REFORMS NO ELECTION mgeni rasmi alikuwa dr slaa. So wangeachwa wangetrend kuliko bi ushungi aliyekuwa mwanza siku hiyo.Mzee Kasongo amechanganyikiwa. Hapa kajichanganya na ni kweli kwa kuwa mama alikuwa kwenye siku ya wanawake ilitakiwa debit isiwepo ili mama atrend.
Inasikitisha sana.
Kaka wa mpira ama wahuni wanaondekezwaYanga ndiyo kaka wa mpira Tanzania lazima ionyeshe mfano
Wahuni wamekufanyia uhuni gani?Kaka wa mpira ama wahuni wanaondekezwa
Kama alikuwa Majaliwa,Mwana FA au Tulia je?Mwigulu ana vimambo vya ajabu sana,, sijui anajukutaga nani,,
Sasa kumbe Hawa wahuni ni wao wenyeweNakuongezea na hili. Siku ya tarehe 8 lisu alikuwa mlimani city na alikuwa akitangaza NO REFORMS NO ELECTION mgeni rasmi alikuwa dr slaa. So wangeachwa wangetrend kuliko bi ushungi aliyekuwa mwanza siku hiyo.
Ikaamuliwa game iahirishwe ili kuhamisa magoli .
Na huyo kiongozi ni wa ccm.wajinga sana hawa TISS