GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
"Kiukweli kama kuna Kitu ambacho nawapongeza wana Simba SC ni kuwa na Viongozi wazuri na Mimi nawaomba chonde chonde wala Wasiwabadilishe kwani hawa hawa Viongozi wao wataifikisha Simba SC katika nchi ya Ahadi" amesema Msemaji wa Yanga SC Ali Kamwe.
Chanzo: East Africa Radio
Ukiwa Mpumbavu kamwe hutoweza Kumuelewa huyu Msemaji wa Yanga SC ila hapa ametuma Ujumbe mkubwa sana.
Chanzo: East Africa Radio
Ukiwa Mpumbavu kamwe hutoweza Kumuelewa huyu Msemaji wa Yanga SC ila hapa ametuma Ujumbe mkubwa sana.