Ali Kamwe: Kesho tunamtambulisha Wata Pleya wetu Uwanja wa KMC ambaye hapatikani kwa michango ya mashabiki

Ali Kamwe: Kesho tunamtambulisha Wata Pleya wetu Uwanja wa KMC ambaye hapatikani kwa michango ya mashabiki

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Kesho Yanga watamtambulisha mchezaji wao mpya katika dimba la KMC na wanachama na Mashabiki wa Yanga watapata nafasi ya kwenda kumona na kupiga naye picha kwa Shilingi 2000 tu

Hakika huu ni moja ya ubunifu mkubwa sana kwa Yanga Hongera kitengo cha Habari na mawasiliano cha Yanga kikiongozwa na Ali Kamwe Mwenyekiti wa wasemaji

“Kesho tunakwenda kumtambulisha EX FACTOR wetu ambaye hapatikani kwa michango ya mashabiki na lengo letu kuitikisa Afrika” “Usajili huu haujawahi kutokea kwa aina yake ya utambulisho pamoja sifa ya mchezaji mwenyewe, Yanga tukiamua jambo letu tunalifanya kwa nguvu ya GSM sio kusubiri michango kama wengine”

“Njooni uwanjani kushuhudia balaa letu jipya ili uwe wa kwanza kupiga naye picha EX FACTOR wetu” Ali Kamwe

Yanga Bingwa Mwakani Tena!

“Kesho tunakwenda kumtambulisha EX FACTOR wetu ambaye hapatikani kwa michango ya mashabiki na le.jpg

 
Kesho Yanga watamtambulisha mchezaji wao mpya katika dimba la KMC na wanachama na Mashabiki wa Yanga watapata nafasi ya kwenda kumona na kupiga naye picha kwa Shilingi 2000 tu

Hakika huu ni moja ya ubunifu mkubwa sana kwa Yanga Hongera kitengo cha Habari na mawasiliano cha Yanga kikiongozwa na Ali Kamwe Mwenyekiti wa wasemaji

“Kesho tunakwenda kumtambulisha EX FACTOR wetu ambaye hapatikani kwa michango ya mashabiki na lengo letu kuitikisa Afrika” “Usajili huu haujawahi kutokea kwa aina yake ya utambulisho pamoja sifa ya mchezaji mwenyewe, Yanga tukiamua jambo letu tunalifanya kwa nguvu ya GSM sio kusubiri michango kama wengine”

“Njooni uwanjani kushuhudia balaa letu jipya ili uwe wa kwanza kupiga naye picha EX FACTOR wetu” Ali Kamwe

Yanga Bingwa Mwakani Tena!

View attachment 3650345
Mwalimu a.k.a X - Factor! Ahahahahaha!!
 
Kwa hizi stats bado Aziz Ki ni wa moto!
 

Attachments

  • Screenshot_20260814_182946_Google.jpg
    Screenshot_20260814_182946_Google.jpg
    38.2 KB · Views: 23
Habari viongozi wa matawi. Wanachama. Wapenzi na mashabiki wote wa yanga.

Kesho tar 15 klabu ya yanga watamtambulisha mchezaji mpya.

Tukio hili litafanyika kwenye uwanja wa KMC ulioko kinondoni Dar es Salam.

Huu ni utaratibu unaotumika kwenye Tim kubwa za Ulaya.

Ili upate nafasi ya kua kwenye tukio hili wanayanga wote tutatakiwa kuingia ndani ya uwanja wa KMC kwa kiingolio Cha sh 2000 tu.

Milango ya uwanja itakua wazi kuanzia sakumi jioni.

Burdani mbali mbali zitakuepo ikiwa ni pamoja na kupiga picha na mchezaji mpya na Mkubwa kwenye huu ukanda wetu wa Afrika.

Pia tutaiangalia mechi yetu na Namungo pale pale KMC tukiwa na viongozi wetu wa yanga pamoja na mchezaji wetu mpya.

Karibuni sana kwenye tukio hili kubwa na la kihistoria kwa Mpira wetu wa Tanzania.

YANGA KLABU KUBWA
INAFANYA MAMBO KIKUBWA.

Sambaza ujumbe huu matawi yote na magrouop yote.
 
Back
Top Bottom