Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Makosa ya kibinadamu mkuu....mbona nao walipewa GoliAache upuuzi!, Kma mashindano yana heshima yake hiyo heshima ilipaswa ianze kuoneshwa kwa kuheshimu jasho la kila timu na sio kutengeza matokeo kwa timu wazipendazo.
APR waombwe msamaha kwakupotezewa muda na kudhulumia haki yao yakucheza fainal.
Chama Cha wenye akili wawiliHuo uenyekiti ameupata kwny chama kipi?
Kocha wa APR aombe radhi
"Mapinduzi Cup ni Tournament Maalum yenye heshima kubwa hapa Afrika Mashariki na Kati.. Timu nyingi kubwa, Wachezaji wengi wakubwa wameshiriki.
Tunapaswa kuyalinda, kuyaheshimu kwa nguvu zetu zote.. Hata mtu anapotaka kuyaongelea ni Lazima ayaongelee kwa Nidhamu.. Isionekana mtu anakuja kushiriki kama 'msaada' tu kwa wenye mashindano.. Hii sio sawa Kabisa.
Mistake za waamuzi kwenye Football zinatokea mpaka World Cup.. Hata ujio wa VAR bado kuna makosa mengi ya waamuzi yametokea.
Inakuaje mtu mwenye Taaluma ya Ukocha anayakosea Heshima mashindano ya Mapinduzi kirahisi tu kwa sababu ya Waamuzi?
Video hapo juu (Ipo kwenye ukurasa wa Ally Kamwe Instagram) Timu yake ya APR ilipewa BAO LA MCHONGO dhidi ya JKU kutoka ZANZIBAR mbona hakusema Hatushiriki Tena kwa sababu Waamuzi wanatupendelea?
Wakikosea Waamuzi kwa wengine Meno yote Nje na kujiona bonge la Kocha.. Wanashangilia mpaka wanavua Nguo uwanjani.. Wakikosea wengine Mnasusa??
Sasa Kwa Tukio la Jana na Hilo hapo la mechi ya JKU Lipi lina upendeleo wa wazi kabisa??? Nafikiri Kocha wa APR anatakiwa KUOMBA MSAHAMA HADHARANI kwa kauli yake.
Mwenyekiti wa Wasemaji Afrika Ally Kamwe." Ameandika Kamwe.View attachment 2867535
Mimi ni YANGA ila huyu ALI KAMWE sijui ni kigezo gani walitumia kumpa kazi, yeye ni msemaji wa yanga, kauli yoyote aitoayo public sio yake ni ya yanga, gngejikita kwenye madai ya APR juu ya uonevu waliofanyiwa kama ni halali au sio halali kwa hoja, kama ni error angeelezea kwanini waamuzi walikataa goli, anakua mbinafsi hajui kuwa mashindano hayajaisha inaweza ikatokea timu nyingine ikalalamika tena.
Pamoja na kuongezwa dakika 7 na nyingine 11 lakini wa-pi!Kocha wa APR aombe radhi
"Mapinduzi Cup ni Tournament Maalum yenye heshima kubwa hapa Afrika Mashariki na Kati.. Timu nyingi kubwa, Wachezaji wengi wakubwa wameshiriki.
Tunapaswa kuyalinda, kuyaheshimu kwa nguvu zetu zote.. Hata mtu anapotaka kuyaongelea ni Lazima ayaongelee kwa Nidhamu.. Isionekana mtu anakuja kushiriki kama 'msaada' tu kwa wenye mashindano.. Hii sio sawa Kabisa.
Mistake za waamuzi kwenye Football zinatokea mpaka World Cup.. Hata ujio wa VAR bado kuna makosa mengi ya waamuzi yametokea.
Inakuaje mtu mwenye Taaluma ya Ukocha anayakosea Heshima mashindano ya Mapinduzi kirahisi tu kwa sababu ya Waamuzi?
Video hapo juu (Ipo kwenye ukurasa wa Ally Kamwe Instagram) Timu yake ya APR ilipewa BAO LA MCHONGO dhidi ya JKU kutoka ZANZIBAR mbona hakusema Hatushiriki Tena kwa sababu Waamuzi wanatupendelea?
Wakikosea Waamuzi kwa wengine Meno yote Nje na kujiona bonge la Kocha.. Wanashangilia mpaka wanavua Nguo uwanjani.. Wakikosea wengine Mnasusa??
Sasa Kwa Tukio la Jana na Hilo hapo la mechi ya JKU Lipi lina upendeleo wa wazi kabisa??? Nafikiri Kocha wa APR anatakiwa KUOMBA MSAHAMA HADHARANI kwa kauli yake.
Mwenyekiti wa Wasemaji Afrika Ally Kamwe." Ameandika Kamwe.View attachment 2867535
Mazingira ndio humshape mtuIla hawa wasemaji jaman
Nini kimewakuta. Sio Ahmed wala wala huyu , walivyokuwakwa TV ya Azam those days walikuwa walionekana vijana smart Wenye weledi; now days ni Kama kuhamia kwenye vilabu hivo wamekuwa zero brain na waropokaji
Sijajua nini kimewakuta
Kuna Ahmed ally nae dah Ali kuwa very smart gan kwenye tasnia ya habari, alikuwa anavutia kusikilizwa, now days dah
Sasa najiuliza akitoka SSC yeye ni mwandishi wa habari. Anavo ruin reputation yake
Ataenda kufanya kaz wap Tena
😂🤣Najua, lakini nae kamwe aliropoka, aombe radhi3 malogo alizingua zaidi[emoji23]
Mwambie Ali kamwe aje awatetee na waamzi wa mechi ya leo!!. Apunguze midomo sio msemaji wa kila Jambo ......Makosa ya kibinadamu mkuu....mbona nao walipewa Goli
Waamuzi wa leo wamekosea nini au ndo hujui mpira?Mwambie Ali kamwe aje awatetee na waamzi wa mechi ya leo!!. Apunguze midomo sio msemaji wa kila Jambo ......
Ukipata muda punguza mihemko rudia kuangalia mpira.... Sijibishana na wenye vipere vya mihemko! Nina facts una opinion ko hatuwezi kuelewanaWaamuzi wa leo wamekosea nini au ndo hujui mpira?