Ali Kamwe: Kocha wa APR anatakiwa kuomba msamaha hadharani

Aache upuuzi!, Kma mashindano yana heshima yake hiyo heshima ilipaswa ianze kuoneshwa kwa kuheshimu jasho la kila timu na sio kutengeza matokeo kwa timu wazipendazo.

APR waombwe msamaha kwakupotezewa muda na kudhulumia haki yao yakucheza fainal.
Makosa ya kibinadamu mkuu....mbona nao walipewa Goli
 

Ila hawa wasemaji jaman
Nini kimewakuta. Sio Ahmed wala wala huyu , walivyokuwakwa TV ya Azam those days walikuwa walionekana vijana smart Wenye weledi; now days ni Kama kuhamia kwenye vilabu hivo wamekuwa zero brain na waropokaji

Sijajua nini kimewakuta

Kuna Ahmed ally nae dah Ali kuwa very smart gan kwenye tasnia ya habari, alikuwa anavutia kusikilizwa, now days dah
Sasa najiuliza akitoka SSC yeye ni mwandishi wa habari. Anavo ruin reputation yake
Ataenda kufanya kaz wap Tena
 
Mimi ni YANGA ila huyu ALI KAMWE sijui ni kigezo gani walitumia kumpa kazi, yeye ni msemaji wa yanga, kauli yoyote aitoayo public sio yake ni ya yanga, gngejikita kwenye madai ya APR juu ya uonevu waliofanyiwa kama ni halali au sio halali kwa hoja, kama ni error angeelezea kwanini waamuzi walikataa goli, anakua mbinafsi hajui kuwa mashindano hayajaisha inaweza ikatokea timu nyingine ikalalamika tena.
 
Yaani waombe msamaha kwa sababu ya ubovu wa waamuzi kwenye mashindano ya bonanza...aisee!!
 

Sio Ali kamwe peke yake. Hata Ahmed wa Simba SC , ni mropokaji na hawajui mipaka ya kazi yao .

Ndio maana vijana wa Africa kuwaamini kama viongoz ni bado

Kuna kipindi Ahmed ally aliropoka kuhusu players kutojituma uwanjan, the following day Ali kamwe akamvamia kuwa hakupaswa kuongelea wachezaji wa SSC vile; sasa I was asking my self yeye ilimuhusu nini maana hakuzungumzia wachezAji wa Yanga .


Wakaanza kubishana instagram dah

Ni watu wazima vijana hawa.

Nadhan kuna haja ya taasisi zao kuwapeleka mafunzo na kuwapa line ya responsibility zao

Ni hatar
 
Pamoja na kuongezwa dakika 7 na nyingine 11 lakini wa-pi!
 
Mazingira ndio humshape mtu
 
Ni kweli APR walifanyiwa dhuluma.. Kwemye hasira lolote unasema hata kina arteta huko huwa wanaropoka.

Kama ni kuomba radhi, aanze yeye kumuomba radhi mwamuzi TATU MALOGO.
3 malogo alizingua zaidi[emoji23]
 
Makosa ya kibinadamu mkuu....mbona nao walipewa Goli
Mwambie Ali kamwe aje awatetee na waamzi wa mechi ya leo!!. Apunguze midomo sio msemaji wa kila Jambo ......
 
Mwambie Ali kamwe aje awatetee na waamzi wa mechi ya leo!!. Apunguze midomo sio msemaji wa kila Jambo ......
Waamuzi wa leo wamekosea nini au ndo hujui mpira?
 
Waamuzi wa leo wamekosea nini au ndo hujui mpira?
Ukipata muda punguza mihemko rudia kuangalia mpira.... Sijibishana na wenye vipere vya mihemko! Nina facts una opinion ko hatuwezi kuelewana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…