Ali Kamwe: Manara ni mfitini, alinifitini kwa mashabiki

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001
FULL INTERVIEW ya Ally Kamwe akiongelea matatizo yake na Haji Manara na mambo mengine ipo kwenye YOUTUBE ya Valor TV @valortv_

Nenda kamsikilize huko utapata meeengi mazuri ya kujifunza kuhusu hawa Binadamu "VYAWA" na wengine wema.

Hii ndiyo kwanini tunawaambia huyu WHITE ni shida kwenye mpira, ana matatizo mengi ambayo yanafichwa na huruma kwa hali yake ya kimaumbile na kwakuwa yuko kwenye kundi maalumu.

Ukimsikiliza Ally Kamwe anavyoongea kwa hisia na kukupa Mikasa alopitia kwa WHITE utajua anavyopenda kuhamisha mada, kuwaita watu wana chuki, kumbe yeye kinara.
Mungu fundi sana, kidogo kidogo ukweli unaanza kufahamika. Bin Kazumari anaichukia Yanga ndo maana hampendi WHITE, haya na Ally Kamwe nae vipi? Huyu ni tatizo, Ally Kamwe amefika hatua anasema ZUNGU anajiona kama Malaika. Jinga kabisaaaa.

My Take
Huyu mtu sio wa kumchekea, ni threat iwe kwa Yanga au Simba, iwe Azam au Singida BS
 
Mbona mimi nilishajua haji kichwani mweupe muda mrefu
 
Shughulikeni na msemaji wenu anayetumia bomba kujikuna kaachia harufu pale.alipatwa na Nini atende yote yale
 
Ungeweka hiyo video ingependeza sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…