Ali Kamwe: Manara ni mfitini, alinifitini kwa mashabiki

Ukiangalia komenti unaona kabisa watz wengi kichwani zero .. mtu badala ajadili content anaanza personal attack.
 
Ukiangalia komenti unaona kabisa watz wengi kichwani zero .. mtu badala ajadili content anaanza personal attack.
Watanzania hatuna akili bro. Hili mimi nilishahitimisha kitambo sana. Hii ina reflect katika nyanja zote za maisha. Iwe siasa, iwe uchumi,iwe nini. Mara chache sana kuwakuta wanajadili jambo kwa usirias.
 
Uzwazwa mbaya sana,kuishi bila kumwamini Mungu ni kuishi kishetani. Wewe unamwamini Ally kamwe100%,je ulishamsikiliza Haji akijibu hiyo hoja ya Ally au kujitetea?
CHUKI YAWEZA KUUA MWENYEWE
 
Kinyago mkichonge wenyewe! Halafu ghafla tu kimeanza kuwatisha.

Pambaneni wenu huko huko na huyo Manara wenu.
Hapana mkuu hapa siongelei mambo ya simba na yanga hapa tunaongelea suala la ali kamwe ameongea kwa uchungu sana manara ni mfitini sana yeye akitukana watu anaona sawa ila akitukanwa yaye analalamika sasa hivi ana mtukana jemedari vitu personal ila anawatukana kina mo na babra hakuna anayewajibu ila akiguswa tu analia.
 
Watanzania hatuna akili bro. Hili mimi nilishahitimisha kitambo sana. Hii ina reflect katika nyanja zote za maisha. Iwe siasa, iwe uchumi,iwe nini. Mara chache sana kuwakuta wanajadili jambo kwa usirias.
Wewe ndio huna akili hio interview haukua na contents nyingine toutauti na mambo yao binafsi ambayo unataka tujadili?
 
Sawa Haji ni mfitini sisi tufanyeje? tumuue?
 
Labda uongee wewe
 
Bado ukweli utabaki palepale! Nyinyi mashabiki wa simba na viongozi wenu mna mchango mkubwa wa kumfanya Manara kuwa mtu wa aina hii aliyo nayo sasa.
Hivyo haisaidii chochote mnapo lalamika sasa.

Wakati ule anaikejeli na kuitukana Yanga na viongozi wake, mlishangilia na kufurahi kweli! Hata pale alipotoa matamshi mabaya dhidi ya baadhi ya waandishi wa habari mfano yule mdada wa Clouds TV, bado mlishangilia!


Ila baada ya kuhama upande wenu, na kuendeleza tabia zake zile zile! Mnajifanya kuguswa!! Thats why mnatakiwa kupambana na hali zenu.
 
Kinara huyu hapa kafika. Poor you
Wewe na Manara mna tabia za kif*la mkichukiana nyie unataka utushirikishe na sisi hii story umeleta humu ili tukuonee huruma au tumchuchie Manara? Logic yako hasa ni ipi? na wewe jamaa ni mnafiki sana kipindi Haji yupo huko kwenu ulikua una mpamba leo unakuja kijiliza hapa nyoko nyoko
 
Ali kamwe mpaka anafika pale alipo sasa kwenye masuala ya mpira shukrani zake lazima ziende kwa tff ya sasa kwa maana ya karia, kidau na oscar(TD), yeye pamoja na j.s.kazumari ni mazao ya tff ya sasa kwenye masuala ya uchambuzi wa mpira, maana tff ya sasa ndio wanaowatambua. Hivyo kinachotokea hivi sasa ni kwamba sababu, tff hawawezi kurudisha tuhuma zinazotolewa na manara moja kwa moja hivyo wanawatumia watu wao...so mchezo hupo hivi Yanga(manara) against tff( jemedar said& ali kamwe)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…