Ali Kamwe: Manara ni mfitini, alinifitini kwa mashabiki

Kwa mfano Ali Kamwe anatumikaje? Kuanzisha kampeni ya kumpongeza Mpole? Bora Jemedari na chambuzi zake ngumu (ambazo ni kwa timu zote)
 
Kwa mfano Ali Kamwe anatumikaje? Kuanzisha kampeni ya kumpongeza Mpole? Bora Jemedari na chambuzi zake ngumu (ambazo ni kwa timu zote)
Kwann manara ni mnafiki leo..na sio juzi....yani ni sawa na wale wanaohoji bil 20 za mo pale simba....pale tu matokeo ya simba yanapokua mabaya....nadhani unanielewa. Mtu makini uhoji vitu pale tu vinapotokea na yeye anapokua au anapoona mashaka. Kwann kauli hizi za ali kamwe zinakuja leo ambapo mgogoro wa manara na tff ni mkubwa zaidi
 
Manara ni Tatizo ipo siku viongozi wangu wa Yanga watakuja ngamua hilo soon
 
hii ishu imekuja baada ya yeye kuulizwa na juma ayo (mtangazaji) kwenye intrrview ya valor tv hakukurupuka tu na kutoa hizo shutuma
ukifatilia idadi ya watu waliowahi kusigana na Manara utagundua huyo jamaa ana shida kubwa sana
 
Mimi simtetei manara...ila ninacho hoji kwann sasa hivi na si juzi..? Sijui unanielewa hapo.
 
Sawa Haji ni mfitini sisi tufanyeje? tumuue?
Hapana siku atajichanganya kwenye 18 za watoto wa mjini kama alivyojichanganya kwa majaliwa na waziri wa michezo domo lake si halina break basi mwisho wake utakuwa wenye masikitiko na utakuwa mbaya sana.
 
Inategemea na viongozi jinsi wanavyomchukulia na ndio maana simba alivyokuja babra alimuondoa manara kwasababu aliona vitu anavyofanya na kuongea havisaidii chochote kwenye soka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…