Ali Kamwe: Mashabiki wengi wa Simba wamfuata chama

Ali Kamwe: Mashabiki wengi wa Simba wamfuata chama

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
MASHABIKI WA SIMBA WAMFATA CHAMA YANGA

"Wengi wanauliza mpaka sasa tumenufaika vipi na utambulisho wa Chama. Mpaka sasa tumepokea taarifa za mashabiki wa upande wa pili ambao wamehamia Yanga akiwemo Baba Kamwe nae amemfuata Chama. Wote waliohama tunawaandalia siku maalumu ya kuwapokea" Ally Kamwe

Wengi watakuja
 
Mmekosa kazi!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aibu naona mie, Woiiiiiih
1719933763629.jpg
 
Kanaongeaga ujinga haka.Tanzania safari ni ndefu sana ya watu kuwaza na kumpambania maisha yao kwa sababu ya ujinga huu wa simba na yanga
 
Kwamba shabiki wa mpira anahama timu na anapokelewa timu mpya?
Huwa wanahama wafanyakazi ambao ni wachezaji na waajirwa wengine ila kwa Tanzania mashabiki wanahama pia timu ni Kituko hii nchi.
Unakua shabiki wa timu ikifungwa unahama timu akihama mchezaji unahama naeee
 
Kichwa kikubwa kama mkubwa wa siafu akili punje.
 
Back
Top Bottom