CHIEF PRIEST
JF-Expert Member
- Dec 13, 2021
- 11,635
- 21,347
Hakuna shabiki wa ukweli anahama timu hao ni misukule ya chama tu.MASHABIKI WA SIMBA WAMFATA CHAMA YANGA
"Wengi wanauliza mpaka sasa tumenufaika vipi na utambulisho wa Chama. Mpaka sasa tumepokea taarifa za mashabiki wa upande wa pili ambao wamehamia Yanga akiwemo Baba Kamwe nae amemfuata Chama. Wote waliohama tunawaandalia siku maalumu ya kuwapokea" Ally Kamwe
Wengi watakuja