Mmekosa kazi!MASHABIKI WA SIMBA WAMFATA CHAMA YANGA
"Wengi wanauliza mpaka sasa tumenufaika vipi na utambulisho wa Chama. Mpaka sasa tumepokea taarifa za mashabiki wa upande wa pili ambao wamehamia Yanga akiwemo Baba Kamwe nae amemfuata Chama. Wote waliohama tunawaandalia siku maalumu ya kuwapokea" Ally Kamwe
Wengi watakuja
Mbona kama semajiii.,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aibu naona mie, WoiiiiiihView attachment 3031966
Ni yeyeeee!!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mbona kama semajiii.,
AibuuuNi yeyeeee!!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] bado akambusu live huko kambinii, wakapeanee mate. LolAibuuu
Uli mhola ahene.Mmekosa kazi!