Ali Kamwe: Mashabiki wengi wa Simba wamfuata chama

Hivi kumbe ni rahisi kiasi hicho Shabiki wa Yanga kuhamia Simba kisa Saido Ntibanzokiza amehamia Simba kutokea Yanga?

Acheni Siasa za CCM na CDM kwenye Mpira.

Ushabiki wa hizi timu mbili ni zaidi ya Imani.

Kamwe usitarajie Mimi Shabiki wa Simba Sports club eti Siku Moja kunikuta nashabikia Yanga.

Hilo halipo.

Hata kama itatokea Simba imeshuka daraja, nitashuka nayo huko huko lakini sio kushabikia Yanga kisa imechukua Ubingwa 💪
 
Ndo hivyo mkuu
 
Awahi milembe
 
Kitendo cha kushindwa kuvumilia team uliyoipenda kwa kuwa haifanyi vizuri au mchezaji fulani basi wewe utakuwa sio shabiki maana kila siku utakuwa mtu wa kuhama hama
 
Kitendo cha kushindwa kuvumilia team uliyoipenda kwa kuwa haifanyi vizuri au mchezaji fulani basi wewe utakuwa sio shabiki maana kila siku utakuwa mtu wa kuhama hama
Njoo ule bata Kwa wananchi
 
Ushabiki wa hizi timu, ni kama KABILA. Utahama DINI, VYAMA VYA SIASA, lakini si KABILA! Hata BUGATI, kule UTOPOLONI anaigiza tu!
 
Ushabiki wa hizi timu, ni kama KABILA. Utahama DINI, VYAMA VYA SIASA, lakini si KABILA! Hata BUGATI, kule UTOPOLONI anaigiza tu!
Umesema sahihi Mkuu, ni ngumu sana kuhama

Imagine nimeanza kushabikia Simba sports club nikiwa na miaka 7 nikiwa nimerithi Kwa Bi Mkubwa wangu aliyekuwa Shabiki Lia lia wa Simba, ndiyo ije niache Leo hii ?😜
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…