Ali Kamwe: Shabiki wa Yanga paka Bleach kichwani na kwenye Ndevu "PACOME DAY"

Mnarudiana wenyewe kwa wenyewe. Fisi anakula utumbo wake.
Mbona kawaida ukileta upuuzi.... Tunakutumbukiza majini sisi tunaendelea na safari!. Kwa mtu mwenye akili timamu huwezi pinga Jambo ambalo lina lengo la kuhamasisha ushindi tena nyakati amabzo umoja unahitaji!. Afu yanatokea mapuuzi yanaleta ujinga...
 
Huyu dogo apewe mtu amdhibiti lasivyo ataigharim club muda sio mrefu
 
Yeye alishaonesha mfano wa kupaka hiyo blich?

Au mnaenda km manyumbu!

Mkijitahidi mtapigwa kimoko kwa mechi zote Yanga kudroo ni 5% kufungwa ni 95%
 
Watu wanatokwa na povu as if imetangazwa kua asiepaka bleach haruhusiwi kuangalia mechi.
Au Kamwe amechukua nafasi ya watu pale klabuni, watu bado wana kinyongo?
 
Mambo kama haya ndio huwa yanafanya Haji aonekane alikuwa sawa kwenye ile kauli yake.

Wenye akili ni wawili.
 
Ivi ikatokea mkapigwa au draw si mtajiongezea aibu mara mbili.
Vitu vingine ni upumbavu WA hali ya juu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ