ngara23
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 9,091
- 21,087
Bacca day ulikuwa wapi?Huu ni utumwa, watanzania sijui yukoje! Tunashobokea wageni mpaka inakera, ni kweli wanasaidia timu zetu lakini tusamia kwanza wa kwetu, halafu hao wageni walishaamua udhaifu wetu wanakuwa na haki kuliko wazawa,mulimsifia Morison akanyea kambi zote 2 Yanga na Simba mpaka akataka kuvuka mipaka kwa kuonesha utovu wa nidhamu mbele ya Rais wetu mpendwa walipoitwa Ikuru, Mayele mlimuimbia mapambio mpaka akavimba kichwa baada ya kuondoka ameinyea Yanga, Chama hivo hivo kwa Simba akaanza kiburi. Kweli Ally Kamwe ameshindwa kudubiri happy birthday za akina Baka, Mamnyeto, Mnzize, Mudathiri day?
Sent using Jamii Forums mobile app