Ali Kamwe: Shabiki wa Yanga paka Bleach kichwani na kwenye Ndevu "PACOME DAY"

Ali Kamwe: Shabiki wa Yanga paka Bleach kichwani na kwenye Ndevu "PACOME DAY"

Kocha wenu alishawaambia muachane na hayo mambo ya kumkuza mchezaji mmoja, wakati uwanjani wako kumi na moja, naona Kamwe bado kichwa ngumu hamjamsikia.

Huu ushamba wenu hauwezi kamwe kuukuta Simba SC.

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
We nae ni mpumbavu .. Kuna ushamba zaidi ya kumlishwa kuomba msamaha wachezaji mliowatukana?.
Kocha afanye yake uwanjani ya nje ya uwanja awaachie wahusika.
 
Yanga tunaojitambuwa hatukubaliani na huu upumbavu, apake yeye blich hana adabu Huyu mtoto.

Hiyo ni mechi ya do or die yeye anatuletea uchoko.
Kwani umelazimishwa?, Ushamba ni wako kuingilia majukum ya watu.
 
Yanga ilipofikia kwa sasa inahitaji ushindi tu. Na wala siyo hiyo burudani, au Pacome day.
Kwahiyo mechi kuchagizwa na jina mchezaji kunafanya yanga ifungwe?. Acheni watu wafanye kazi zao.
 
Huyu anashindwa kuja na ubunifu mwingine zaidi ya hilo la wachezaji? Mechi muhimu sana kwa Yanga hiyo anashindwa kuja na kauli mbiu za kuunganisha timu badala yake anakuja na kauli ya kumpamba mchezaji mmoja.
Hili jambo la kuita mechi siku ya mchezaji ni kuivuruga saikolojia ya wachezaji hata yeye mchezaji husika akatoka kwenye form kwasababu ya kufikiria ukubwa wake katika siku hiyo.

La pili ni kuingilia majukumu ya kocha, pengine kocha ana approach yake ya kutoanza na mchezaji fulani lakini kutokana na uswahili huo unamfanya kocha lazima ampange huyo mtu ili shughuli yake ifane au hata upande wa kufanyiwa sub.

La tatu mnatengeneza tension kwa timu pinzani ku deal na huyo mtu ili asipate umaarufu kupitia wao hivyo ni kama kuuzia mbinu kwa wapinzani wenu wa deal na Pacome. Huu ujinga Hersi aukemee na hata kocha alishasema hautaki na ukiangalia hauna faida yoyote kwanini huyo dogo bado anakomaa nayo? Kama hana mbinu zingine za kuhamisisha watu aseme asaidiwe ila sio kuwafanya mashabiki wa Yanga wajinga na wapumbavu kwa kutuletea utoto wake
 
La pili ni kuingilia majukumu ya kocha, pengine kocha ana approach yake ya kutoanza na mchezaji fulani lakini kutokana na uswahili huo unamfanya kocha lazima ampange huyo mtu ili shughuli yake ifane au hata upande wa kufanyiwa sub.
Hapa umeandika
 
Huyu alikamwe ana utoto mwingi mno sijui kwanini walimpiga chini nugazi
 
Sio bleach tu ameongezea na kope na kucha za bandia. Sijui anataka waarabu wawaeleweje?
 
Yanga kitengo cha media njema
Team inaongelewa hapa
Team. Inafuatiliwa
Saiv hatujui makolo wako wap team yao imepoa

Mbumbumbu wameingia kwenye mtego wapi wanaifuatilia Yanga
Wanaongelea pacome day wanasahau tea lao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yanga kitengo cha media njema
Team inaongelewa hapa
Team. Inafuatiliwa
Saiv hatujui makolo wako wap team yao imepoa

Mbumbumbu wameingia kwenye mtego wapi wanaifuatilia Yanga
Wanaongelea pacome day wanasahau tea lao

Sent using Jamii Forums mobile app
Vipi na wewe utapaka bleach?
 
Sio lazima huo ni ubunifu wa media yetu
Ndo maana mbumbumbu wamejaa hapa wanajadili pacome day
Wamesahau team lao huko Bunju
Yanga ina trend
Pacome day ndo habari ya mjini

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa mbona huo ubunifu unasema sio lazima.Paka bleach na vaa kope za bandia.
 
Huu ni utumwa, watanzania sijui yukoje! Tunashobokea wageni mpaka inakera, ni kweli wanasaidia timu zetu lakini tusamia kwanza wa kwetu, halafu hao wageni walishaamua udhaifu wetu wanakuwa na haki kuliko wazawa,mulimsifia Morison akanyea kambi zote 2 Yanga na Simba mpaka akataka kuvuka mipaka kwa kuonesha utovu wa nidhamu mbele ya Rais wetu mpendwa walipoitwa Ikuru, Mayele mlimuimbia mapambio mpaka akavimba kichwa baada ya kuondoka ameinyea Yanga, Chama hivo hivo kwa Simba akaanza kiburi. Kweli Ally Kamwe ameshindwa kudubiri happy birthday za akina Baka, Mamnyeto, Mnzize, Mudathiri day?
 
  • Kicheko
Reactions: Tui
Back
Top Bottom