Ali Kamwe Tuheshimiane!!

Acha ufala wewe mimi sio mdangaji 😂 😂
Bleach yangu ya kistaarabu hadi ofisini inaheshimika.
🤣🤣🤣🤣🤣 Ntakua getini Sasa we uje umechovya chovya utarudi nyumbani
 
Hata kama mambo mengine ni kufanyana kama wote kweli hatuna akili. Sisi Yanga wenye akili katika hili hapana. Pakeni nyie. Hamasa si hii hata kidogo.
Bleach inategemea na umri pia lakini... kuna umri kupaka bleach sio.
 
Halafu aliwaza pia kuwa Yanga ina mashabiki wenye uwaraza.

Yani mimi na uwaraza wangu nikapake bleach nywele za pembeni tu si itakuwa kituko cha karne🤣🤣
 
Bleach ni uhuni tu, umetulia zako unashangaa mtu anakatiza ukiangalia kichwa kwa mbali unaweza kusema kabeba sahani ya pilau kichwani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mambo moto
 

Attachments

  • FB_IMG_17086696167974196.jpg
    332.8 KB · Views: 1
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…