Ali Kamwe Tuheshimiane!!

Ali Kamwe Tuheshimiane!!

Hata kama mambo mengine ni kufanyana kama wote kweli hatuna akili. Sisi Yanga wenye akili katika hili hapana. Pakeni nyie. Hamasa si hii hata kidogo.
Bleach inategemea na umri pia lakini... kuna umri kupaka bleach sio.
 
Halafu aliwaza pia kuwa Yanga ina mashabiki wenye uwaraza.

Yani mimi na uwaraza wangu nikapake bleach nywele za pembeni tu si itakuwa kituko cha karne🤣🤣
 
Mwigulu tayari [emoji1787][emoji1787]
Screenshot_20240223_074440.jpg
 
Bleach ni uhuni tu, umetulia zako unashangaa mtu anakatiza ukiangalia kichwa kwa mbali unaweza kusema kabeba sahani ya pilau kichwani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mambo moto
 

Attachments

  • FB_IMG_17086696167974196.jpg
    FB_IMG_17086696167974196.jpg
    332.8 KB · Views: 1
Back
Top Bottom