Ali Kamwe: Tuliwaomba Wydad watuzimie kelele kesho

Hakuna tunachomdai mkuu
 
Tupe findings za research yako
 
Nikisha ona tu mtu ana kichwa kikubwa kama mkubwa wa siafu najua hapa kichwa kimejaa makohozi matupu.
Mkuu mi naona Ahmed ally ndo ana kichwa kubwa kuliko kamwe
 
Mnaendekeza utani wenzenu wanajenga Viwanja.
Facilities..
Timu za Vijana.
Expertise nk......

ENDEKEZENI UTANI WA KISHAMBA HUO.
TUMEWAPA WAJINGA WATUONGOZE.
Lakin kule mjini CAF timu zetu zinakiwasha

Kuhusu kujenga viwanja....bado uchumi wetu hausapoti
 
aah tangu wachomolewe moja Lupaso mi sina imani nao, mpira huwa una maajabu yake mzee, unashangaa Mtani anafunga moja ugenini..
ila Raja iliku 3/3
Naweza FUTA account hapa jf ....kolo akishinda kesho [emoji23][emoji23]
 
Ndiyo maana mamipira yenu hamfiki popote ishu kama hizo wenzenu wanasaidiana nyie ndiyo mnamalizana watu wakifungua threads humu kusema hii ngozi ina matatizo mnakuwa wakali.
Huko Misri hali ipo kama hivi Tz, huko Morocco pia hali ipo hivyo hivyo.

Achana na uhasimu wa mpira mkuu, hasa hasa huko nchi za wenzetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…