Ali Kamwe: Tuliwaomba Wydad watuzimie kelele kesho

Ali Kamwe: Tuliwaomba Wydad watuzimie kelele kesho

Hana Cha kusema kuhusu Yanga maana imemkanda Rivers United kwao Huku bongo wanakuja kukamilisha ratiba tu.

Mudathir Yahya kiungo bora kwasasa nchini!

Mayele mfungaji Bora bara na Shirikisho!

NBC premier league kombe limeanza kuandikwa Dar Young Africans!

Mwakani tunarudi kibabe kombe la klabu bingwa Africa!

Ally Kamwe Aseme Nini kuhusu Yanga?
Hakuna tunachomdai mkuu
 
Nilichogundua Watanzania Waislamu ndiyo wanaziogopa hizi timu za Kiarabu kwa hiyo strategy ya timu zetu tunapocheza na nchi za Kaskazini iwe ni kutumia zaidi Wakristo hasa wachezaji. Ni sawa nchi iwe na mgogoro na Vatican halafu upeleke kiongozi au afisa wa serikali Mkatoliki, lazima atakuwa anatetemeka na atapata shida katika kusimamia maslahi ya nchi.

Hili nitakuja siku moja kulielezea zaidi kama nitakumbuka.
Tupe findings za research yako
 
Wydad mi siwaamini sana.
Hii kazi tungewapa Raja
Kwamba wydadi ni wadhaifu???
1682615076397.jpg
 
Nikisha ona tu mtu ana kichwa kikubwa kama mkubwa wa siafu najua hapa kichwa kimejaa makohozi matupu.
Mkuu mi naona Ahmed ally ndo ana kichwa kubwa kuliko kamwe
 
Mnaendekeza utani wenzenu wanajenga Viwanja.
Facilities..
Timu za Vijana.
Expertise nk......

ENDEKEZENI UTANI WA KISHAMBA HUO.
TUMEWAPA WAJINGA WATUONGOZE.
Lakin kule mjini CAF timu zetu zinakiwasha

Kuhusu kujenga viwanja....bado uchumi wetu hausapoti
 
aah tangu wachomolewe moja Lupaso mi sina imani nao, mpira huwa una maajabu yake mzee, unashangaa Mtani anafunga moja ugenini..
ila Raja iliku 3/3
Naweza FUTA account hapa jf ....kolo akishinda kesho [emoji23][emoji23]
 
Ndiyo maana mamipira yenu hamfiki popote ishu kama hizo wenzenu wanasaidiana nyie ndiyo mnamalizana watu wakifungua threads humu kusema hii ngozi ina matatizo mnakuwa wakali.
Huko Misri hali ipo kama hivi Tz, huko Morocco pia hali ipo hivyo hivyo.

Achana na uhasimu wa mpira mkuu, hasa hasa huko nchi za wenzetu.
 
Back
Top Bottom