Labani og
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 19,637
- 29,473
- Thread starter
- #81
Hakuna tunachomdai mkuuHana Cha kusema kuhusu Yanga maana imemkanda Rivers United kwao Huku bongo wanakuja kukamilisha ratiba tu.
Mudathir Yahya kiungo bora kwasasa nchini!
Mayele mfungaji Bora bara na Shirikisho!
NBC premier league kombe limeanza kuandikwa Dar Young Africans!
Mwakani tunarudi kibabe kombe la klabu bingwa Africa!
Ally Kamwe Aseme Nini kuhusu Yanga?