Ali Kamwe: Tumebadili mtindo wa Kutambulisha Wachezaji wetu wakitua nchini kwakuwa kuna Timu ina Kijicho nao na Kuwamaliza

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
"Hatutambulishi tena Wachezaji wetu wa Kigeni wakitua tu Uwanjani kama zamani kwani kuna Timu moja ina Jicho la Husuda huwa inawamaliza Kimpira" msemaji wa Yanga SC Ali Kamwe.

Chanzo: Sports Bundle ya U-FM jana Saa 3 Asubuhi.

Kudadadeki zenu na hata huyu mpya nae tutamroga zaidi ya Hafidh Konkon
 
Simba ni wachawi jamani, dah
 
Mnawaita Wasemaji kumbe waropokaji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…