Labani og
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 19,637
- 29,473
ALLY KAMWE: SISI SIO LAST BORN,WALETE NA MECHI ZAO TUWACHEZEE..!!
"Kama mtu anadeka deka, anataka viporo, anaona hajiamini, fursa ipo sisi tutatwanga pia na mechi zake"
"Kama anaona anabanwa banwa na timu hana na anawaandikia barua Bodi ya Ligi ya kuomba mechi isichezwe, basi anaweza akaandika barua ya kuomba Yanga icheze mechi zake, tutaenda kucheza alafu points uchukue wewe"
"Sisi hatutaki kudeka deka, tumekubaliana kesho tunaenda kutwanga mechi na Polisi Tanzania, tukimaliza shughuli ya Azam Sports Confederation Cup tunarudi Benjamin Mkapa siku ya Jumamosi kucheza na CR BELOUIZDAD"
ALLY KAMWE - AFISA HABARI WA YANGA
#FutbalPlanetUpdates

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app