Ali Kamwe: Tutacheza mechi zote, sisi sio lastborn kama Makolo

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
ALLY KAMWE: SISI SIO LAST BORN,WALETE NA MECHI ZAO TUWACHEZEE..!!

"Kama mtu anadeka deka, anataka viporo, anaona hajiamini, fursa ipo sisi tutatwanga pia na mechi zake"

"Kama anaona anabanwa banwa na timu hana na anawaandikia barua Bodi ya Ligi ya kuomba mechi isichezwe, basi anaweza akaandika barua ya kuomba Yanga icheze mechi zake, tutaenda kucheza alafu points uchukue wewe"

"Sisi hatutaki kudeka deka, tumekubaliana kesho tunaenda kutwanga mechi na Polisi Tanzania, tukimaliza shughuli ya Azam Sports Confederation Cup tunarudi Benjamin Mkapa siku ya Jumamosi kucheza na CR BELOUIZDAD"

ALLY KAMWE - AFISA HABARI WA YANGA

#FutbalPlanetUpdates

1708339737979.jpg

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Siku si nyingi mtalazimika kusafiri kuifuata Al Ahly. Kwa kauli hii, sitegemei kama mtadeka kuahirisha mechi ya ligi
 
Polisi wacheze kwa kufika kwenye miili kesho, ni mwendo wa tackling hadi waseme poo
 
Huko CAF wameshaona maji ni marefu hawawezi Kuuvuka mto ndiyo Maana wameona wakomae na nbc pl .Wanaojua Maana halisi ya mashindano ya CAF na ugumu wake ngoja wadeke ila mwisho wa siku mtajua ni kwa nini waliomba mechi zao za nbc pl zisogezwe mbele
 
ALLY KAMWE: SISI SIO LAST BORN,WALETE NA MECHI ZAO TUWACHEZEE..!!

"Kama mtu anadeka deka, anataka viporo, anaona hajiamini, fursa ipo sisi tutatwanga pia na mechi zake"

"Kama anaona anabanwa banwa na timu hana na anawaandikia barua Bodi ya Ligi ya kuomba mechi isichezwe, basi anaweza akaandika barua ya kuomba Yanga icheze mechi zake, tutaenda kucheza alafu points uchukue wewe"

"Sisi hatutaki kudeka deka, tumekubaliana kesho tunaenda kutwanga mechi na Polisi Tanzania, tukimaliza shughuli ya Azam Sports Confederation Cup tunarudi Benjamin Mkapa siku ya Jumamosi kucheza na CR BELOUIZDAD"

ALLY KAMWE - AFISA HABARI WA YANGA

#FutbalPlanetUpdates

View attachment 2908994
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Pamoja na majini yenu Mwarabu atawakula back and front.
 
Lini mmeanza kucheza nyie badala ya majini?
 
Huko CAF wameshaona maji ni marefu hawawezi Kuuvuka mto ndiyo Maana wameona wakomae na nbc pl .Wanaojua Maana halisi ya mashindano ya CAF na ugumu wake ngoja wadeke ila mwisho wa siku mtajua ni kwa nini waliomba mechi zao za nbc pl zisogezwe mbele
Yanga ndio mtegemewa wa TZ kimataifa

Back
Top Bottom