Ali Kamwe: Tutacheza mechi zote, sisi sio lastborn kama Makolo

Ali Kamwe: Tutacheza mechi zote, sisi sio lastborn kama Makolo

Huko CAF wameshaona maji ni marefu hawawezi Kuuvuka mto ndiyo Maana wameona wakomae na nbc pl .Wanaojua Maana halisi ya mashindano ya CAF na ugumu wake ngoja wadeke ila mwisho wa siku mtajua ni kwa nini waliomba mechi zao za nbc pl zisogezwe mbele
Yanga tunajiamini , timu iwe kubwa au ndogo tunacheza nayo kama tunavyocheza na timu nyingine tu , Simba mkiacha woga na kuzikuza timu za waarabu mtafika nusu fainali .
 
Yanga tunajiamini , timu iwe kubwa au ndogo tunacheza nayo kama tunavyocheza na timu nyingine tu , Simba mkiacha woga na kuzikuza timu za waarabu mtafika nusu fainali .
Nyie mmeshafikia malengo yenu ndio maana mmeshajitoa mashindanoni kwani CAFCL mara ya mwisho kufika makundi rais wenu alikuwa form one
 
Yani li mechi lenu ni ndani hapoo kwa mkapa..yani bila huyo mr slim kuongea utmbo siku haijaisha..
 
Back
Top Bottom