Tetesi: Ali Karume awekwa kwenye kona, atangazwa kuwa ana uraia wa Marekani



hahahahaha uwiiiiiiiiiiiiiiiiii
mbavu zangu mieeeeeeeeee
kumbe wewe mi ndugu yangu???
 
mh ma ccm haya ni shida!!miaka yote hiyo apivyokuwa balozi alikuwa balozi wa marekani nini?akiiwajioisha marekani ama?leo ametoka eti sio raia!!so mtu mpka anakuwa balozi wetu sehemu then anakuwa sio raia so anamwakilisha nani?hacheni kutufanya c wajinga!!
 
Pengine alikua hajachkua uraia bado. Izo skendo zao wanatufanya sote akili zetu Za samaki kama wao
 
Mwongo utokaje mbinguni ?!
 
Kwa hiyo kuna vita kati ya Balozi Karume na Balozi Iddi? Nilidhani katika familia ya Karume huyu ndo alikuwa CCM kindaki ndaki hadi kushauri kuwa katiba iseme "Raisi wa Zanzibar atokane na CCM tu". Amani sijui CCM inamuweka wapi. Dada yao ndio kaingia CUF na Fatma msimamo wake uko wazi. Je hii ni ishara ya CCM kuzidi kupoteza nguvu Zanzibar?
 
CCM haipo kabisa huku ZNZ. Umebakia mitutu inayowaeka madarakani
 
Raia wa Tanzania wana data zote kutoka kwa marafiki zake aliokuwa akinywa nao Pombe huko marekani
Character assasination+tuhuma..siasa bhana ni jazzah ujazweh.
 
Serukamba wanasema sio mtanzania ndio maana amejificha ccm ili asiitwe mnyarwanda.
 
"Wana data zote kutoka kwa marafiki zake aliokuwa akinywa nao POMBE huko Marekani" ......Hahahha,hapo habari imekwisha. Kitendo cha unywaji Pombe hakijawahi kumuacha mtu salama Zanzibari!
 

yani uraia wa mtu unathibitishwa na kauli za kwenye pombe?

kweli tunaongozwa na MAJUHA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…